Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikupe titles? 🤣🤣🤣
Acha tu mkuu, nilipoacha kuangalia hiyo game nakaamua ku stick kuangalia series.

Man United nimeiwekea notification kwenye app ya Sofascore kwa hiyo kila kinachojiri lazima notification iingie.

Sasa ilifika muda magoli yakawa yanaingia hadi sofascore wakaacha kutuma notification..

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Aiseee mimi kwa sasa nimeshavuka hii stage.

Ni aina ya yule mwanafunzi ambaye amechapwa sana viboko hadi kufikia level ya usugu kiasi kwamba fimbo imekuwa sio tishio tena kwake.

Nikiona tu mechi tumeanza kwa kufungwa basi nabadilisha chanel naangalia vitu vingine.

Kwa sasa wacha ni invest furaha yangu kwa Madrid tu maana huku England tunazungusha tu sketi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…