Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Carrick kaondoka mapema mno.
Angepewa muda zaidi. Angalau hata angemaliza msimu huu tuone nafasi aliyoishia kwanza.
 
Sir jim na kampuni yake INEOS ndio inahusika na shughuli zote za kimpira japo familia ya glazer ndio ina hisa kubwa

Pochetino anataka full mandate, kitu ambacho sir jim hakitaki
So pochetino sio chaguo la sir jim.

Glazer ameona huu ni u3enge tangu tuwaachie timu haifanyi vzuri wanamleta pochetino kinguvu. Rejea aya ya kwanza

Tayari maboss hawapo kwenye terms moja

Kocha na sir jim, wapo katika mtazamo tofauti

Mashabiki hawana imani na wachezaji

Kwa Wachezaji kila kocha anaekuja mbinu zake hazitoshelezi



Swali
Nani wakuinusuru nyumbu ?
 
Hii timu ishuke daraja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…