Hongera mkuu bei zako zipo chini sana hii ni vunja bei.
Hivi una yard maeneo gani?
mkopo vipi mkuu?
mkuu Kinyau,engine hazichezewa,ni kweli ni imported from Japan,na kuna certificates (JAAI,bill of lading),za kuonyesha kuwa gari imetoka Japan.kweli bei ni reasonable
injini hazijachezewa mkuu na ni kweli they are from Japan?
Mkuu Fidel80,tupo Old Bagamoyo,opposite na shoppers plaza.Karibu sana.
mkuu RINGO EDMUND,njoo tutaelewana kuhusu mkopo.
...Hiyo Hilux Surf ya rangi nyesui naona imetulia mkuu! Haipungui? Unajua tena siku hizi ukiwa na 4WD unaenda vijijini unakoga watu kuwa ni mtu wa Jumba Jeupe la Magogoni!!:A S tongue:
toyota ist,vitz zipo?....bei gani?
HAHAAAAAAAAAA.... naona desi umeamua!! Maybe this time ntapata lift