Wisdomndukovic
JF-Expert Member
- Aug 17, 2023
- 223
- 255
ππ nilikuwa nursery apo Baby class ππππaisee JF ina watoto wengi Sana yaani 2007 hujaanza primary mwingine alikuwa la 3,ππ sometimes mnatubishia na kututukana babu zenu mjue
Nisalimie,Mimi nilikuwa mwalimu nikiwa na miaka tatu ya ajiraHuu uzi umeandikwa pindi nipo darasa la sita...., jumlisha O level, A level na university =kitambo, now npo serikali kuu napiga kazi..., kuna muda inabidi uwe mpole sababu unaweza jibizana na babu na bibi zako humu jukwaaniπππ
Basi iweni na adabu nyie wajukuj zetu unakuta unamwambia mtu acha "usenge" ilihali huo mwaka uliokuwa baby class yeye alikuwa tayari kaziniππππππ nilikuwa nursery apo Baby class ππ
Sio Dennis RobertsMi hadi huwa nahisi BAK ni Ben saanane π’
Nami nilikuwa darasa la sita huko kijijini.Huu uzi umeandikwa pindi nipo darasa la sita...., jumlisha O level, A level na university =kitambo, now npo serikali kuu napiga kazi..., kuna muda inabidi uwe mpole sababu unaweza jibizana na babu na bibi zako humu jukwaaniπππ
Sasa hivi au hata zamani kidogo (kuna Citizen Journalists) habari unaipata hata kabla ya mtoa habari..., Nakumbuka Ubalozi wa Dar na Kenya ulivyokumbwa na Tafurani nilikuwa na mdau mmoja akapigiwa simu kwenye mobile yake na mdau kutoka Dar (Na yeye ili kuonyesha ni first on the Know akatoa Taarifa kwa wadau wa Karibu)Hii habari nakumbuka kuisoma gazette la Alaasir liliokuwa linatolewa na IPP ya Mzee Mengi,madogo wa humu jueni zamani kulikuwa na gazeti la mchana lenyewe linatoka mchana wa saa saba na lingine likiitwa Dar Leo.
Nimempata wa vidudu mwenzangu πOct 19,2007 nadhani nilikuwa niko viduduπ€
Halafu kutwa kutuporomoshea matusi humu babu zetu π π ( utani)Oct 19,2007 nadhani nilikuwa niko viduduπ€
Kuna kipindi nifah alitangaza kuachana nayeMi hadi huwa nahisi BAK ni Ben saanane [emoji22]
Sio huyu yule ni BoldKuna kipindi nifah alitangaza kuachana naye
Wanajua wanajibizana na jack sparrowHalafu kutwa kutuporomoshea matusi humu babu zetu π π ( utani)