Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,110
nibora tukaongozwa na mtu tunayejua kuwa simmasai kuliko kuwa na imani kuwa tunaongozwa na masai wmenzetu kumbe pandikizi kwa hali hii ulivyo liaibisha jamii ya kimasai sasa basi hapa no CCM hapa ni ile chama ya ule mtu inaitwa SLAA (CHADEMA) wewe ondoka tu hapa kabla haja kukuta mengine,
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... Hivi unamjua lowassa wewe??
dogo sikiliza, tena sikiliza sanawewe acha kuongea pumba anaye mfahamu lowassa ni mke wake na familia yake hapa tunaongelea mstakabali wa maendeleo ya taifa letu na mustakabali ya watu anao waongoza na sisi kuongea propaganda na ni wapiga kura wake ndiyo wamemkataa then tofauti 2005 na 2010 ni vitu viwili tofauti .............. Wananch wamechoshwa
kuongozwa na mafisadi wa rasilimali zao then wanapigiwa kampeni wapitishwe tena dic time kamanda hapa monduli lowassa hana chake
Mkuu usemayo yana ukweli ndani yake maana namjua LOWASA mzee wa hulka na mtandao mkubwa. Namjua Lowasa ana mapandikizi mengi kuanzia ccm, serikalini mpaka kwenye vyama vya upinzani. anatumia nguvu ya fedha zetu alizokwapua kiujanjaujanja.watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
wewee acha kukatisha makamanda tamaa LOWASSA NI LOWASSA hawezi kushindna na nguvu ya umma na kuhakikishia mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko ya kweli na lowassa hachomoki monduli kama jina linakuogopesha ni wewe na vibaraka wako tulipo sema ukombozi wa kwelidogo sikiliza, tena sikiliza sana
mambo ya mke na familia, tuna jukwaa kule, karibu sana... i am talking about politics and uchaguzi to be specific.. mimi si wewe unayejadili mpita njia ukiwa selo.. you hvae to get out to see the sunlight!!
Lowassa ni zaidi ya unavyomjua, wenye akili timamu wanaelewa... kumuangusha ni zaidi ya mto wa mbu... ningekua naongea na kuwaza unavyowaza, basi tungekua na nchi mbaya zaidi ya hapa
you must learn to appreciate capability ya mtu kabla ya kuweka mabandiko udhaniayo... kwenye primaries tuliambiwa kakaliwa koon, akachapa over 90%... he is powerful and capable of using vinavyoonekana na visivyoonekana. FYI, hata rafiki yangu lema pale arusha, kama isingekua lowassa basi angeanza kusherehekea ushindi
Una jina zuri lakini huendani nalo
mkuu... nashukuru kunipa nafasi... unajua ukisoma post number 1, utadhani kazi imeishaMkuu usemayo yana ukweli ndani yake maana namjua LOWASA mzee wa hulka na mtandao mkubwa. Namjua Lowasa ana mapandikizi mengi kuanzia ccm, serikalini mpaka kwenye vyama vya upinzani. anatumia nguvu ya fedha zetu alizokwapua kiujanjaujanja.
Inabidi kuwepo na master plan njema ya kuangusha mbuyu ili tusionekana kana kwamba tunafyeka msitu kwa kiwembe.
Lete plan basi nini kifanyike kumtoa huyu fisadi anayedhani watanzania wanampenda
wewee acha kukatisha makamanda tamaa LOWASSA NI LOWASSA hawezi kushindna na nguvu ya umma na kuhakikishia mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko ya kweli na lowassa hachomoki monduli kama jina linakuogopesha ni wewe na vibaraka wako tulipo sema ukombozi wa kweli
hatukuangalia tunaanza nanani, tuliangalia mustakabali wa taifa nzima so usilete maneno yako mepesi kwenye majibu mgumu ambaya tumekwisha amua,,,, sawa kamanda nadhani umenielewa kama bado njoo monduli ujionee hali halisi na siyo jina,
majina tunayo toka enzi na enzi kama we nikamanda weka jina lako live kama mimi , mukiitwa vibaraka mnakataa wakata muda unawahukumu, lowassa fisadi tupa kulee, kamuelezi KAMANDA KILEWO ANASEMA MWAKA HUU AMAZAKO AMA CHADEMA ILA` JIMBO HUCHUKUI
soma signature yangu utanielewaAcid bwana, inaonekana Lowassa anakutisha sana, ni kweli si rahisi kwa fisadi kama yeye kukubali kirahisi kushindwa na ikitiliwa maanani kuwa fedha za kifisadi na jazba kibao zipo.. lakini kwani yeye nani isiwezekane bwana.. acha kukata tamaa bwana, statement yako kidogo ina onyesha ku give up!!!
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
Yana mwisho haya, Lowasa atakwenda na maji kama tu watu wale kule Monduli wataeleweshwa na kuelewa, wataelimishwa na kuelimika. Nani alitaraji mzee wangu Malecela Kuwa nje ya Jukwaa la Ubunge muda huu. na mikakati yake yoote, na ukongwe wake woote, TingaTinga likaangushwa na bajaji. chaaali.