Semenya,
..Sumaye ana afadhali kubwa sana kuliko Lowassa.
..off course alikuwa na mapungufu yake, lakini vilevile magazeti ya Lowassa na JK yalikuwa yakimwandama tangu ateuliwe Waziri Mkuu kwa muda wa miaka 9 .
..tangu aondoke madarakani ameshinda kesi ya madai dhidi ya gazeti lililoandika habari za uongo na kashfa dhidi yake.
..Tanzania tunahitaji kiongozi mwenye upeo na uelewa wa mambo kuliko Frederick Sumaye. lakini ukinishikia bastola na kuniambia nichague kati ya Lowassa na Sumaye, kwa kweli nitalazimika kumchagua Sumaye.
NB:
..mnakumbuka Sumaye na Dr.Idris Rashid walivyochukua mikopo toka PPF wakati Mataka akiwa DG? magazeti ya wanamtandao yaliandika suala lile kama kashfa na kuwa Sumaye hafai kuwa waziri mkuu. sasa mbona leo mtandao haohao wamewapa nyadhifa nzito Dr.Rashidi na Mataka?

Linganisha tu MALI alizokuwa nazo FTS kabla hajawa WM na miaka kumi baada "kustaafu" UWM. Staili alootumia Sumaye na wanasiasa wengine wengi tu akiwemo EL ni ngumu sana kuitolea ushahidi hapa lakini kama umewahi kuwa mwajiriwa wa TAASISI yoyote ya UMMA utakuwa unaelewa mabilioni ya taasisi hizi yanavyotafunwa na MAWAZIRI, MANAIBU WAO kupitia tenda hewa nyingi na over pricing ya bidhaa na huduma kwenye taasisi hizi.Umenena mkuu,mwenye ushahidi tosha wa ufisadi wa Sumaye , kama upo, autoe hadharani.
Utawala bora kwa nchi za kiswahili kama hii yetu tutacheleweshana tu. Mkono wa chuma ndio suluhisho!hiyo ya ubabe wote wamejaaliwa kuwa nao, na hawana tabia ya kufuata utawala bora
Kuna modern dictatorship. Kuna mambo hayaendi bila mkono wa chuma, come on we need that sooner rather than later!tatizo udikteta ukiingia ndo hivyo watuwatakua wanazipiga mpaka mwisho