monduli2009
Member
- Dec 22, 2009
- 6
- 0
Mhe Edward Lowasa akiwa katika mikutano ya kuhamasisha maendeleo katika Jimbo lake. Picha hizi ni harakati zake katika Kata ya Lolkisale tarehe 16/12/2009.
Huu ni mkutano uliotia fora wiki hii.
jamaa ni chui kwenye ngozi ya kondoo.....kha nywele nyeupe pe kama nyerere. Kifimbo cheusi ti kama cha mwalimu. Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa!