Waziri mkuu aliye jiuzu(si kustaafu) E.Lowassa angejua kwamba chochote anachofanya kujisafisha anajiaribia zaidi angefuata ushauri wa bure anaoupata hapa JF.Huwe kuwadhulumu Watanzania ukajisafisha bila kuwaomba radhi kwa uwazi na kuwarudishia ulichodhulumu.Huwezi kuwaonea Watanzania ukajisafisha bila kutubu kwa uwazi.Lowassa asifikiri anaweza akaongoza nchi hii kwa mlango wa nyuma bila kujulikana.Angalia ulivyomuaribia Ubunge Dr.Batilda huko Arusha mjini,Ulivyoshindwa kumhujumu Olesendeka na Sitta.Haya yote yangetosha kumuonyesha kuwa njia yake ya pekee ya kujisafisha ni kutubu kwa uwazi kama neno la mungu linavyosema na sii kwenda kutembea nje na kuja kusema umekwenda Israel kuhiji hiyo ni kejeli nyingine kwa Mungu. Wana JF mchango wenu.
YOHANA 13
11Kisha nikamwona mnyama mwingine akipanda juu kutoka katika ardhi (JK).
Alikuwa na pembe mbili kama za mwana kondoo lakini aliongea kama joka (URAISI NA UENYEKITI WA CCM).
12Naye alitumia uwezo wote wa yule mnyama wa kwanza aliyemtangulia (CCM/NEC/UWT/MAFISADI).
(JK) Akalazimisha dunia yote na wote waliomo duniani (TANZANIA) wamwabudu huyo mnyama wa kwanza (LOWASSA) aliyekuwa na jeraha la kifo lililokuwa limepona (KASHFA YA UFISADI).
13Huyu mnyama wa pili (JK) akafanya miujiza ya ajabu (KUWAFUNGULIA KESI WAKINA MRAMBA).
14Kwa njia ya miujiza aliyowezeshwa kufanya kwa niaba ya yule mnyama wa kwanza (LOWASSA AT EL), aliwadanganya watu waishio duniani (TANZANIA).

Huyu bwana Mvi alishaambiwa na JK-original (Julius Kambarage) kuwa "hufai".
Lowassa hatakiwi kufungua mdomo mla rushwa mkubwa yeye pamoja na Chenge na Rostam Aziz
Huyu bwana Mvi alishaambiwa na JK-original (Julius Kambarage) kuwa "hufai".
Hayo ni maneno mazito kama aliyotoa Yesu Msalabani aliposema "imekwisha".
Lowasa anaweza kuwa Rais wa Wamasai; Siyo Rais wa Watanzania.
Watanzania Hatutaki usanii wa "mvua za kutengeneza" na "Kilimo cha mchicha New Zealand"
YOHANA 13
11Kisha nikamwona mnyama mwingine akipanda juu kutoka katika ardhi (JK).
Alikuwa na pembe mbili kama za mwana kondoo lakini aliongea kama joka (URAISI NA UENYEKITI WA CCM).
12Naye alitumia uwezo wote wa yule mnyama wa kwanza aliyemtangulia (CCM/NEC/UWT/MAFISADI).
(JK) Akalazimisha dunia yote na wote waliomo duniani (TANZANIA) wamwabudu huyo mnyama wa kwanza (LOWASSA) aliyekuwa na jeraha la kifo lililokuwa limepona (KASHFA YA UFISADI).
13Huyu mnyama wa pili (JK) akafanya miujiza ya ajabu (KUWAFUNGULIA KESI WAKINA MRAMBA).
14Kwa njia ya miujiza aliyowezeshwa kufanya kwa niaba ya yule mnyama wa kwanza (LOWASSA AT EL), aliwadanganya watu waishio duniani (TANZANIA).
YOHANA 13
11Kisha nikamwona mnyama mwingine akipanda juu kutoka katika ardhi (JK).
Alikuwa na pembe mbili kama za mwana kondoo lakini aliongea kama joka (URAISI NA UENYEKITI WA CCM).
12Naye alitumia uwezo wote wa yule mnyama wa kwanza aliyemtangulia (CCM/NEC/UWT/MAFISADI).
(JK) Akalazimisha dunia yote na wote waliomo duniani (TANZANIA) wamwabudu huyo mnyama wa kwanza (LOWASSA) aliyekuwa na jeraha la kifo lililokuwa limepona (KASHFA YA UFISADI).
13Huyu mnyama wa pili (JK) akafanya miujiza ya ajabu (KUWAFUNGULIA KESI WAKINA MRAMBA).
14Kwa njia ya miujiza aliyowezeshwa kufanya kwa niaba ya yule mnyama wa kwanza (LOWASSA AT EL), aliwadanganya watu waishio duniani (TANZANIA).
Aisee inawezekana hayo maandiko yaliilenga Tanzania.