St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Nov 19, 2010 #1 Source:Mjengwa. Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa?
Source:Mjengwa. Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Nov 19, 2010 #2 haya ndio maishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Nov 19, 2010 Thread starter #3 Preta said: haya ndio maishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... Na kama kungekuwa na kipimo cha furaha nadhani hawa watu wangetushinda wengi sana humu duniani.
Preta said: haya ndio maishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... Na kama kungekuwa na kipimo cha furaha nadhani hawa watu wangetushinda wengi sana humu duniani.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Nov 19, 2010 #4 Paka mweusi said: Na kama kungekuwa na kipimo cha furaha nadhani hawa watu wangetushinda wengi sana humu duniani. Click to expand... kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali
Paka mweusi said: Na kama kungekuwa na kipimo cha furaha nadhani hawa watu wangetushinda wengi sana humu duniani. Click to expand... kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali
mmiy Member Joined Oct 2, 2010 Posts 27 Reaction score 0 Nov 20, 2010 #5 Paka mweusi said: Source:Mjengwa. Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa? Click to expand... Na wanaonekana wana furaha kwelikweli.
Paka mweusi said: Source:Mjengwa. Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa? Click to expand... Na wanaonekana wana furaha kwelikweli.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Nov 20, 2010 Thread starter #6 Preta said: kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali Click to expand... Na ukiwauliza matarajio yao kwa siku za usoni si ajabu wakakujibu "nitafurahi sana mjukuu wangu yule anayemaliza la saba mwaka huu akiolewa na mwalimu".
Preta said: kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali Click to expand... Na ukiwauliza matarajio yao kwa siku za usoni si ajabu wakakujibu "nitafurahi sana mjukuu wangu yule anayemaliza la saba mwaka huu akiolewa na mwalimu".
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Nov 20, 2010 #7 Paka mweusi said: Source:Mjengwa. Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa? Click to expand... Hawa ni wanyalukolo wa Iringa wanafurahia ushindi wa chadema dhidi ya ccm hapo Iringa mjini ; wapo sehemu za Kihesa wanabwia ULANZI!!
Paka mweusi said: Source:Mjengwa. Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa? Click to expand... Hawa ni wanyalukolo wa Iringa wanafurahia ushindi wa chadema dhidi ya ccm hapo Iringa mjini ; wapo sehemu za Kihesa wanabwia ULANZI!!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,151 Reaction score 9,273 Nov 20, 2010 #8 watu kama hawa ndo wanaishi maisha marefu.....