WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY
KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???
MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK
LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA
NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA
engima!!!!kila mtu kwa starehe yake
bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee
WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA
WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA
na huo unaweza ukawa mwisho wake kisiasa.
Habari zilizomfikia nzi wetu zinaonesha kuwa katika sakata la kutumia madaraka kujishughulisha na mambo ya ufiska Bw. Masha hayuko peke yake. Orodha ya viongozi kadhaa wa serikali, siasa, na taasisi za umma imemalizika huku orodha ya machangudoa, vidosho na mahusiano na baadhi ya watoto wa kike wa Sekondari zikiwa wazi.
Hapo hapo wanakuwa wakwanza kupiga kelele za kinafiki bungeni,....mimba watoto wa shule za msingi na sekondariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,wanaohusika wawajibishweeeeeeeeeeeeeeeeee,huku neno kuwajibishwa wakisemea mvunguniUnashangaa ya Masha wakati serikali nzima ya JK imejaa uozo wa maadili.
Nenda Dodoma ukaone jinsi wabunge,mawaziri na viongozi wengine wakubwa serikalini wanavyopigania vibinti vidogo vya shule!!
We are living in a lawless country!
Kinachonitisha, na ambacho ninaomba maelezo zaidi ni jinsi bwana mkubwa huyu anavyotumia ngawira zetu kuendeleza libeneke.