TWANJUGUNA
Member
- Jun 6, 2010
- 28
- 1
Kweli? Ukiwa na ushahidi naomba utuonyeshe.Kiswahili hasa, kwa kufuatia chimbuko lake na wataalam walivyotafiti katika kuandika kazi za misamiati na kamusi za kwanza kabisa, ni cha Unguja.
Kweli? Ukiwa na ushahidi naomba utuonyeshe.
Maana yote niliyoona mimi hadi sasa ni Kiswahili kilianza mahali mbalimbali pa pwani kama kundi la lahaja zilizoendelea kuathiriana - na kikasanifishwa na Waingereza wakati wa ukoloni waliochagua Kiunguja kama msingi wa Kiswahili sanifu (kuna Wamvita - wa Mombasa- wanaoendelea kulialia juu ya hatua hii hadi leo).
Karibu nusu ya maneno ya Kiswahili ni derivative za maneno ya kiarabu.Ukielewa hili na kuelewa jinsi gani Unguja ilivyokuwa gateway na centre ya waarabu East Africa wala hutashangaa Kiswahili kuwa kimeanzia Unguja.
Nadhani tuko pamoja. Unasema kweli kuna tofautitofauti kati ya lahaja za Kiswahili maana tumeshaona katika mifano hapo juu.Basi kulingana na logic yako ni sawa kusema kuwa kule waarabu walipokaa wakisubiri upepo ndiko walipata wanawake wa kibantu na vile vitoto vikaiga lugha kwanza za kibantu kisha upepo ulipowapepepusha mwambao na kukikuza kiswahili. itakuwa unreasonable kutarajia kiswahili kiwe sawia kote afrika mashariki. kiamu na kiunguja kina maneno ya kiarabu kiingi ilhali kile cha maeneo ya wa-midzi kenda (kenya), na wa pare kwa mfano kinacho ubantu mwingi. kumbuka pia kipare na ki-midzi kenda vina tofauti. kwa hivyo the only common denominator ni yale maneno ya ki-arabu. kila mmoja atadai kuwa lahaja yake ndiyo!