wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:
'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'
swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
Natamani saaaana niwachape viboko mwenyewe kwa Mikono yangu MAKAMBA, JAJI MAKAME, KIRAVU, MAHANGA, MKAPA. hawa watu wanaichafua Tanzania yetu. Au wapelekwe tarime waachiwe katikati ya Wananchi wenye HASIRAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
Yaani kabla mwaka 2011 haujaisha kutakuwa na chaguzi ndogo kibao mark my words
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:
'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'
swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
mliambiwa kuwa kura hazipigwi na wahariri wa magazeti, mkajifaya viziwi. Mkaonyeshwa kuwa kujaza mikutano ya kampeni siyo upigaji kura mkajifanya vipofu. Sasa ikija kwenye kukubali ukweli mnajifanya mabubu. Endeleeni umbumbumbu wenu wa kisiasa!
Kelele zoooote sasa hivi watu wote :tape:!!!!!
Hivi we ****** nikikutukana utasema nakuonea, Upupu wako peleka hukohuko Bumbuli. Hii Nchi sio ya baba yako wala mama yako Huwezi kuwaita wakurya sio Raia.Kama kawaida tutawapelekea,kikosi maalum,mwanzo hawana mvuto wakitanzania,2nasifika na tabia ya ustaarabu,uraiya wao nina hatihati nao,baada ya Mheshimiwa kuapishwa,we have to do vatting kwa jimbo la Tarime,nahisi wakimbizi wanataka kuharibu jina letu
Mkuu unaona mbali..........hawa jamaa wala hawana sababu ya ku-deal nae, wao watashughulika na familia na ndugu wa karibu!! kama kuna ambaye hana macho, basi apapase!Kama wamesema kweli; WATAFANYA! Kuna uchaguzi ccm ili ForceKing miaka ya nyuma mkoani mara. Wananchi wakamwambia HUTOTUONGOZA mbunge. Na kweli haikuwezekana. Watoto wake walianza kupelekwa na ffu shuleni, kanisani na hakuweza kuendelea na ubunge.