- Wananipenda wakati nikiwa mzima nikiugua kidogo huanza kutoweka.
- Wananipendea uzuri wa sura na sauti yangu hawajui naweza kupata ajali nikapoteza reception hiyo na sauti ikawa ya kukoroma.
- Wanaangalia bambataa langu hawajui mwenyewe naona kero kwa kugeukiwa kila mara (wataweza kuvumilia nikitembea nao barabarani nikiangaliwa na wenzao?)
- Wanapenda waonje bila harusi, hawajui kuwa sina muda mchafu huo tena.
- Wanakuja kwa gia ya kudai bila mimi maisha hayaendi japo nimekutana nao wakiwa wanaishi vema tu.
- Wanadai mi mpole na mkarimu nafaa kuwa mke lakini wanasahau kuwa hivyo si vigezo vya mke bora.
- Wanadai niko mchangamfu na mwenye kuwa na haiba bila kujiuliza kama nikiwa nao watakubali kusikia wenzao wakinisifia hivi.
- Hawako wakweli, hata kama waliwahi kutembea na 'wenzangu' zaidi ya 20 wataniambia mimi ndiye wa tatu hiviiii
- Wanadai mimi ni msomi na naenda na wakati wakati si kipimo cha mapenzi katika ndoa.
- Wananipa ahadi kibao hata zisizoweza kutimilika kwa akili ya kibinadamu ili mradi niwaone bab kubwa.
- Wanadai wananipenda sana na nikiwambia nimeathirika wengi husahau hata kuniuliza nini kimeniathiri.
- Wengi wa habari, kila nikiwa nao naona wanageuka pindi 'wenzangu' wanapopishana nasi.
Sijui kina nani hawa? Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia
.......mmmmmh, mambo ya kawaida hayo lakini dada langu!! its dog eat dog, big, bad world out there!!
Binafsi siwezi kujipendelea, lakini I guarantee you,rafiki Nyani Ngabu hayupo hivyo kama hao uliowaongelea. LOL.
Tina,unajua unapocema huwapendi ndo unawapa muda wa kutafuta gia gani ambayo utaingilika,simba mwenyewe na ukali wake na bado anazaa be care full.
chapaa, wanatafuta lakini nazijua na wengi wetu tunazijua. Hawa2wezi kwa gia hizo, ukiona tumekubali ni kuwa tumeamua wenyewe tuTina,unajua unapocema huwapendi ndo unawapa muda wa kutafuta gia gani ambayo utaingilika,simba mwenyewe na ukali wake na bado anazaa be care full.
dmussa, niko macho sana, asante kwa kunikumbushaYeah True!
Tina
Binadamu hashindwi kitu... hayo uliyoyasema yanaweza kutumika kukupata kilaini kabisa! Just watch out!
ngonalugali, utakuwa mmoja wao, prove me wrong pal.Mimi si mmoja wao, wewe unasemaje?
Mfamaji, hakuna asiyependa kusemwa vyema ila siwapendi wale wanaonisema vyema wakiwa na lengo la kuniingiza kwenye mtego wao. Nikiwakubalia basi nawahadaa kwani nazielewa laghai zao. Nawezekana kuwa na sifa hizo lakini iwe sababu ya wao kuja na kupata watakacho na kuniacha? Let's be frank, kwanini wanafanya hivi? What if it could be you?Tina , wewe unajihisi vipi.Mzuri , wa kuvutia , mpole, mnyenyekevu, haiba safi etc? How do yo rank yourself. Accept +ves because if they say you are ugly , unapealing , unsexy , rude , shapeless etc I am sure you will hate them more. Watch out?//
- Wananipenda wakati nikiwa mzima nikiugua kidogo huanza kutoweka.
- Wananipendea uzuri wa sura na sauti yangu hawajui naweza kupata ajali nikapoteza reception hiyo na sauti ikawa ya kukoroma.
- Wanaangalia bambataa langu hawajui mwenyewe naona kero kwa kugeukiwa kila mara (wataweza kuvumilia nikitembea nao barabarani nikiangaliwa na wenzao?)
- Wanapenda waonje bila harusi, hawajui kuwa sina muda mchafu huo tena.
- Wanakuja kwa gia ya kudai bila mimi maisha hayaendi japo nimekutana nao wakiwa wanaishi vema tu.
- Wanadai mi mpole na mkarimu nafaa kuwa mke lakini wanasahau kuwa hivyo si vigezo vya mke bora.
- Wanadai niko mchangamfu na mwenye kuwa na haiba bila kujiuliza kama nikiwa nao watakubali kusikia wenzao wakinisifia hivi.
- Hawako wakweli, hata kama waliwahi kutembea na 'wenzangu' zaidi ya 20 wataniambia mimi ndiye wa tatu hiviiii
- Wanadai mimi ni msomi na naenda na wakati wakati si kipimo cha mapenzi katika ndoa.
- Wananipa ahadi kibao hata zisizoweza kutimilika kwa akili ya kibinadamu ili mradi niwaone bab kubwa.
- Wanadai wananipenda sana na nikiwambia nimeathirika wengi husahau hata kuniuliza nini kimeniathiri.
- Wengi wa habari, kila nikiwa nao naona wanageuka pindi 'wenzangu' wanapopishana nasi.
Sijui kina nani hawa? Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia
Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia
Kisaikolojia tina unamatatizo sio bure,ni kwa jinsi gani wewe ujitambue kwamba una mvuto kwa watu wengi,eti kila ukipita unatazamwa.
hii mada ungeipeleka theutam na sio hapa JF.Jamani wenzenu tunamachungu na nchi hii ambayo tusipokua serious vizazi vijavyo vitatulilia.
We have a lot of things to discuss and then you bring hopeless discussion,Tina be serious to our future generation.Tuna ufisadi wa Lowasa,migodini,bandarini,TRL,ATCL,kandarasi za barabara n.k leo eti unatazamwa na wanaue unachanganyikiwa,ningekua na uwezo ningekunyofoa hako kadude,yaaaaaani tina
Mimi si mmojawapo bibie..tena ntakufaa sana..Ni hivi:
2. Sisi watu wa pwani hatujui kupiga wake..mila zetu zasema ukitaka mpiga mke mpige na upande wa kanga..
How does that sound..?