Mwanakijiji,
Hata mimi nafikiri ilikuwa ni makosa kwa Raisi wa Zanzibar kumuwakilisha Raisi wa Jamhuri ktk sherehe za Mashujaa. Kwa sababu Raisi na Makamu wake walikuwa nje ya nchi, kikatiba Waziri Mkuu ndiye aliyekuwa akikaimu nafasi ya Raisi wa Muungano.Labda Waziri Mkuu naye alikuwa na udhuru.
Sioni kama hii ni kasoro ya Muungano, nadhani hapa ni wahusika kutokuifahamu au kuidharau Katiba.