Kwa vile huyu Ngida anawaogopa mafisadi,anataka kutoka Jamii Forums. Mafisadi watamuharibia afya yake. Kuanzia sasa,anataka ''safe'',yaani kunywa pombe na kufanya massage.
Ina maana hawa mafisadi ni very dangerous,ikiwa mtu anadhani kulewa chakari kila siku,itakuwa much safer kuliko kubishana na mafisadi. Ukishaanza tu kusema,mafisadi ni dangerous,''the syndicate will kill someone'',,then all these people gravitate towards these carnal matters.That is the way it seems to me.
Wanaoondoka JF hawaagi, wanaoaga hawaondoki.
Nyie wote mnaonyesha jinsi gani mlivyo wadhaifu wa kukubali kushindwa kirahisi na kukata tamaa harakka kama hivi, Lazima uwe imara siku zote na pia kama huyu jamaa anamua kuondoka hapa basi afanye hivyo haraka sana, ila watakuja watu wengine walio bora.. Huwezi kujitoa kwa hali kama hii maana sisi ndio tulizembea kwa kuwaweka watu wabaya katika siasa zetu na siasa ni nzuri ila watu ndio wabaya.
Wanaoondoka JF hawaagi, wanaoaga hawaondoki.
Ndugu yangu Ngida1 utakuja kumkimbia mwanamke uliyemuoa kwa mambo madogo!PAMBANA BWANA