Kwaheri NMB

Dah hizi bank bhn soft money ni nzuri Kwa usalama ila muda wowote zinakutia aibu just imagine ndio umekwenda sehemu kula halafu unategemea ulipe ?
Soft money unatakiwa kuwa nayo kwenye multiple platforms
1. M- pesa
2. Airtel Money
3. Mixx by Yas
4. NMB
5. NBC
6. Azam pesa
7. CRDB
8. Selcom

Hakikisha una hizo platforms na hukosi walau 5M kwenye kila mojawapo.
 
Soft money unatakiwa kuwa nayo kwenye multiple platforms
1. M- pesa
2. Airtel Money
3. Mixx by Yas
4. NMB
5. NBC
6. Azam pesa
7. CRDB
8. Selcom

Hakikisha una hizo platforms na hukosi walau 5M kwenye kila mojawapo.
Unaugua akili. Subiri kamshahara kahishi. Hakunaga soft money. Money is money.
 
Hao wamelemewa wateja.....katika hali ya kawaida wanawezaje kukata fedha ya mteja kwa kuangalia salio?????
 
Wanachangamoto gani?
Ya kusumbua kwa mfumo wao wa SIMBANKING au kutokuwa na huduma KABISA

Mara kwa mara nikitaka kuwithdraw inakuwa ni tatizo au hata kutuma pesa na hata ikifanikiwa basi haileti mrejesho kwa message so Mtu unashindwa kujua transaction imefanikiwa au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…