Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Loh! samahani Steve D. Nimezoe ku watermark kazi yangu lakini utangundua niliacha na picha nyingi zilizopo hapa na zingine zaja hazitakuwa/hazitakuwa na watermark. Sorry kwa hili kama limekukwaza.Kwa kweli nimezipenda picha. Ila mwenyepicha ameweka watermark kubwa mno ya copyright mpaka inaharibu hata mwonekano wa picha. Angepunguza kidogo tu ingelikuwa bado na maana na picha bado zingeonekana mwanana.
tafadhali leta na picha za akina dada wa makamo (19 - 30) kutoka Mtwara. Waombe ridhaa wasepe kwenye ukumbi wa jamii. 🙂
Wewe nawe...yaani akili yako imekaa kama ya Yo Yo vile....unawaza ma miss tu kutwa nzima...
Picha za Historical buildings Mikindani zipo zaja. Uwe na Subira.shukran nyingi hata mimi nitafurahi kama utaondoa hii water mark na pia umenikumbusha miaka yangu niloishi hapo Mtwara, karinbu na kanisa la Parish nafiokiri ndio lenyewe kwenye picha jee FIN club iko bado ? nitafurahi kuona picha za historical sites za Mikindani pia kwenye majengo ya historia .pia kama kuna uwezekano wa kuwasiliana nje ya ukumbi nitafurahi pia namaskarblue@gmail.com
Bahati mbaya mimi ni mzee wa miaka 70 na nina kora ya kichungaji shingoni! hivo vibinti vidogo vyote vilikuwa vinanikimbia. Nisingeweza kupata picha zao.Wewe nawe...yaani akili yako imekaa kama ya Yo Yo vile....unawaza ma miss tu kutwa nzima...
Mkuu FM heshima mbele,
Mimi je unaonaje kwa mtu anaependa kuweka vitega uchumi Mtwara panafaa.
Panaonekana ni pazuri sana na kuna lots of opportunities.
Panafaa mkuu.Mkuu FM heshima mbele,
Mimi je unaonaje kwa mtu anaependa kuweka vitega uchumi Mtwara panafaa.
Panaonekana ni pazuri sana na kuna lots of opportunities.
Taja mwaka tafadhali. Ahsante.Hii ni nguzo iliyo ndani ya hotel ya Boma kule Mikindani ambayo inasemekana ni moja ya nguzo nzee sana lakini imara ambayo haijaharibika hadi leo. Imejengwa kwa mawe na udongo tu.
Hotel imejengwa miaka ya 1800's kwa hiyo itakuwa ni miaka hiyo hiyo!Taja mwaka tafadhali. Ahsante.