Kuna siku tulihitilafiana na mke wangu na it was bitter, sasa katika kujibishana maneno akasema, "..kama ni wanaume nimeona wangapi?...". Hiyo statement ilinikera sana hivyo nilichukua karatasi na kalamu nikaorodhesha majina ya wanawake/wasichana niliyowahi kukutana nao, then nikampatia! halafu chini nikamwandikia na yeye anipe list kisha nikachomoka nyumbani na kuelekea kwenye nyumba za vinywaji. Niliporejea sikumkuta and it took us about six months to settle the fracas -Ndoa ilibakia kidogo kukatika.
Inatia sana doa kujua mwenzi wako alishawahi kunananiii au kunanniiwa na so many people!!!
hata kwenye ndoa utasikia mwanaume anakuuliza... niambie nani huwa anakufuatafuata! Sijui ili iweje!
B_EKuna siku tulihitilafiana na mke wangu na it was bitter, sasa katika kujibishana maneno akasema, "..kama ni wanaume nimeona wangapi?...". Hiyo statement ilinikera sana hivyo nilichukua karatasi na kalamu nikaorodhesha majina ya wanawake/wasichana niliyowahi kukutana nao, then nikampatia! halafu chini nikamwandikia na yeye anipe list kisha nikachomoka nyumbani na kuelekea kwenye nyumba za vinywaji. Niliporejea sikumkuta and it took us about six months to settle the fracas -Ndoa ilibakia kidogo kukatika.
Inatia sana doa kujua mwenzi wako alishawahi kunananiii au kunanniiwa na so many people!!!
hata kwenye ndoa utasikia mwanaume anakuuliza... niambie nani huwa anakufuatafuata! Sijui ili iweje!
B_E
Ulivyokuwa unaandika hiyo listi yako ulikuwa unajisikiaje?
Kama yeye hakuandika yake wewe ulikuwa unafukutwa hasira ya nini?
Ndio hapo sasa..... afu ukishamwambia anakwambia wewe hapo unawapa green indicators amah!
B_E
Ulivyokuwa unaandika hiyo listi yako ulikuwa unajisikiaje?
Kama yeye hakuandika yake wewe ulikuwa unafukutwa hasira ya nini?
Patamu hapo!Jamani Sisy mwenzako alikuwa anaandika ili amwonyeshe wifi kuwa wewe unanidharau jua kuna walioniona wa maana na kukuthibitishia list hii hapa. ni wazi kuwa wifi alihisi naye kaambiwa hata mie nshaona wengi na mara nyimgi kwa tafsiri yetu kina mama tunamalizia kabisa..... tena wazuri kukushinda.
Patamu hapo!
Na wewe unamalizia...." tena wenye pesa kukuzidi " hahahahah
Hizo ngumi utakazopata utabaki wewe, Mungu wako na daktari!
WofS,
Hiyo statement aliyotoa ndiyo iliyonipa nguvu ya kufanya listing! I'm on my middle 40s and there is no way kuwa sijakutana na score ya wasichana during my "boyhood". Kwa hiyo tulivyo funga pingu - 14 years ago, I thought we were starting a New Life (in Kyerefaso) and hakukuwa na haja ya kuongelea past/present experience no matter umekasirika kiasi gani!
Alimwaga Mboga na Mimi nikwamwaga Ugali!
Imagine if this was your husband, anakwambia "...kwani wanawake nimeona wangapi..." ungefanya nini Wofs?
what if ukimwambia " kwani na wewe unawatongozaga akina nani?" atajibu
nini?
ni bora ukimjibu." hakuna mtu ananifuataga" utasikia " haiwezekani, unanificha tu..... plsss niambie basi nijue tu wala sifanyi kitu!"