- Feb 10, 2006
- 4,564
- 16,980
Asante Shy,Aha poleni sana ndio majukumu hayo
Shy,hivi nikuulize lakini si zinaweza kupatikana kwa feeds ambazo zimetumwa kwa muda huo zilipopotea ?
Mkuu Shapu, imeenda na maji, very sorry mkuu.Ok Mkuu poleni kwa kazi ngumu. Naona na thread yangu ya "the dark side of the Mwalimu Nyerere" imekatikia huko huko... siioni tena.
Asante Shy,
Japo tumefanikiwa kufanya maintenance muhimu lakini data hizo tuna wataalam wamesema watajitahidi walau za 12hrs zipatikane, zikipatikana tutaziunganisha haraka iwezekanavyo. Wale walioanzisha mijadala flani na wanaona haipo nawaomba waianzishe tena, mods watarekebisha endapo kutakuwa na kujirudia kwa namna yoyote iwayo.
Ahsante
Si kasema ni mentenensi lakini madude yamegomea njiani? Mimi huwa ninazinyonya zote kwenye disk ngumu yangu hivyo naanza kuwamegea kila kitu kama mlivyobandikiwa jana.Pole sana wakulu! Vipi mlivamiwa tena?
lim (x³-7x²) = ∞;612075 said:Si kasema ni mentenensi lakini madude yamegomea njiani? Mimi huwa ninazinyonya zote kwenye disk ngumu yangu hivyo naanza kuwamegea kila kitu kama mlivyobandikiwa jana.
Shy,
Uko sahihi, ukweli nimechoka kwa sasa maana sijalala takribani masaa 27 hivi, wengi mmepata feeds hizo, kama kuna wanaoweza kuzileta mtakuwa mmefanya jambo la busara sana.Mkuu Shapu, imeenda na maji, very sorry mkuu.
Dah Poleni sana na kazi dada Farida najua upo busy sana. Watu wakiambiwa Mods hawalali usiku kucha ili kuliweka libeneke sawa wana bisha siku moja jaribu kuzima JF masaa 8 tu uone watu watakavyo anza kulalamika.
lim (x³-7x²) = ∞;612075 said:Si kasema ni mentenensi lakini madude yamegomea njiani? Mimi huwa ninazinyonya zote kwenye disk ngumu yangu hivyo naanza kuwamegea kila kitu kama mlivyobandikiwa jana.
Si umeona nimezishusha kwa uchache. Nilizipata kwenye feeds za JF, muda mwingi nipo site mkuu. Wahandisi kuwa online ni nadra kamanda wangu.Na jana ulizinyonya?
Mambo ya teknolojia ni ∞ maana anytime anything can happen na unaweza kukosa hata kujinasua. Waulize Demonoid.com website kubwa kabisa, wao walipoteza database ya kila kitu hata majina ya waliojisajili na pwd zao. Kurudisha hata hivi jamaa nimewakubali ni wakali.Ndio maana nilikuwa nashangaa ni nini kimeingia hapa ndani afadhali umesema mwenyewe
Je mmejiandaaje ili next time tatizo kama hili lisitokeee?