Mwanamagenzi post..
Ina maana ziara ya JK hapo Real Madrid inaanza kuvutia "wawekezaji wa soka"?
ijulikane kwamba hakuna mtanzania asiyependa maendeleo ya michezo lakini kwa hili la Real Madrid siliiungi mkono hata chembe. sababu ziko nyingi lakini moja tu ya kiuchumi na kushuka kwa thamani ya sarafu yetu nitaiweka wazi.
real Madrid ni timu kubwa yenye wachezaji wa ghalama kubwa na wenye kuhitaji ulinzi mkubwa na kubwa zaidi wanaoishi maisha ya kitajiri sana. mshahara tuchukulie wa mchezaji mmoja david Beckham ni pound 120,000/= kwa wiki thamani ya paundi hizo ni shilingi za kibongo milioni mia mbili na arobaini (240,000,000/=) sasa huyo ni mchezaji mmoja je unaweza kufikiria ghalama ya kawaida sana ya kuishi hapa bongo kwa bekham itakuwa sh ngapi kwa siku? haipungui milioni saba(7,000,000) sasa waje wachezaji labda 18 viongozi jumla 7 kwa ujumla wao wawe 25 pamoja na rais wa timu yao na kisha wakae siku mbili utaweza kufikiria thamani ya shilingi yetu itashuka kwa kiasi gani kwa maana dola zitatafutwa ili kuwakimu hawa jamaa na hapo hapo kumbuka hawaji kutumia dawa za huku, maji ya huku, oh pipi za huku vyote wanakuja navy hivyo hatutafaidi kwa kuwauzia hata pipi tu je safari hiyo ina manufaa gani kwa Tanzania.
ningeshauri serikali iombe uwanja uzinduliwe katika miongoni mwa mechi za AFCAN ili kufikia malengo yetu kiuchumi. tupange mambo yetu ikifika wakati tuwataarifu CAF kwamba mechi moja sema ya SENEGAL itafanyikia uwanja mpya.
mie ninavyoona Rais akae aangalie jinsi ya kujenga uchumi na si kuangalia Taifa Stars (sisemi aiache lahasha) tu.
MUNGU ibariki TANZANIA
masai said:We kichwa unazni kuileta realmadrid ni kuwalipa mishahara selikari haita toa mbuni wala nini je vipi kama huyo beckam angekuwa mtanzania au cameroon wanapo kwenda kwao kwenye mechi za africa wanalipwa nini hau haujui na wao wachezaji wao wote wanalipwa ma pound. kichaa wale wakija uchumi wa bongo utakuwa kwa asilimia 0.0009 kwa kuwa habari zitauzwa, hoteli zitajitangaza kuna wazamini kama makampuni makubwa kama siemens wata zamini mpambano. we unazani mohamed ally alipo kwenda kupigana zaile uchumi wao ulikuwa kwa cm chache kapuko we
we masasi umechoka kufikiria na unleta hoja za kiuchumi usizo hata na ufahamu nazo na unafikiri kuuza habari kutaongezeka eti madrid imekuja. punguza ushamba wa kushabikia kila ambacho unakiona kigeni kwanza tafakari faida na hasara halafu zipime katika mizani na utoe maamuzi si kukurupuka kama mvua za mafuriko na kuleta asilimia zako.
unapoilinganisha mohamed ally alipoenda kupigania zaire(kongo) wakati ule thamani ya Franc ya zaire ilikuwa sawa na Dola ya marekani kwa hiyo ilitengeneza kitu kinaitwa 'indifference' income kwamba uwepo marekani au zaire ile pesa utakayopata haina inflation proration inmultiplier effect.
acha kurukia mada usizoelewa. leo hii exchange rate ya TSHS/Us$ ni 1270 sasa ni nani ambaye si mpaka ahakikishiwe madafu mengi ili aje atakubali kwa maana kama akipata TSHS 100,000,000 (milion mia moja) ni sawa na kwamba marekani angepata US$ 78,700 (elfu sabini na nane na mia saba) sasa kama shilingi ina value ndogo uchumi utapanda vip wakati multiplier effect ya ziara hiyo kwa asilimia kubwa itaenda nje.
mathalani: watakaa kempsink (Kilimajaro hotel) ambako
1 meneja mkuu - mmarekani
2 meneja msaidizi _ nje
4 afisa masoko - nje
5. afisa ugavi - nje
6. kampuni ya ulinzi - ya nje
7. receptionist - wakenya
8. customer care - kenya, uganda (hakuna mbongo nenda kaone)
9. vyakula vingi (zaidi ya 90% importred) hadi maji ya kunywa.
10. wa kusafisha swimming pool watu wakichafua na kuokota karatasi kama
zipo - watanzania ( usilaumu ndo hali halisi)
na hao madrid watakuja na dawa zao hadi asprin labda wataacha mitumba. sasa wewe masasi kwa upeo wako mdogo unakuja na maneno makali huku hujui ni nini kilichopo tulia jifunze na utakuwa mwelevu.
By Emmanuel Muga
BBC Sport, Dar es Salaam
President Jakaya Kikwete visited Real Madrid last year
The Tanzanian government has announced that Spanish giants Real Madrid will tour the country in July and that preparations for the high-profile visit have already started. Muhammed Seif Khatib, Tanzania's Minister of Information, Culture and Sports, says the nine-time European champions have confirmed their decision to visit in a letter to the Tanzanian ambassador in France.
Nonetheless, Real Madrid has still to publicly comment on the tour.
Real's visit will be used as part of the celebrations to open Dar es Salaam's new Olympic standard 60,000-capacity stadium, including a planned match.
In the letter, Real reportedly demanded five-star treatment, such as business class air travel and five-star hotel accommodation, as well as a fee for the matches it will play. The government has responded to Real's demands by appointing a ten-man committee to raise the needed funds.
The tour will inspire our players to improve their skill and will be good publicity for us
Minister Muhammed Seif Khatib
The committee is headed by Colonel Iddi Kipingu, the country's Sports Council Chairman, and includes Leodegar Tenga, the president of the Tanzanian Football Federation. The minister insisted that it will be worth spending millions of dollars to host Real, who are on the verge of completing four seasons without silverware.
Khatib said the visiting football stars will inspire the local players as well as raise the profile of the Tanzanian game. "The tour will inspire our players to improve their skill, and it will also be good publicity for us," the minister said.
"It will be money well spent."
Young Africans, one of the teams lined up to play Real, has declared it will pay the fee for its match against the European giants. The Spanish giants were invited by President Jakaya Kikwete, who visited the club last September.
Real Madrid's proposed visit follows hot on the heels of Ahly's declaration that they will play Barcelona as part of the Egyptian giants' centenary celebrations.