Hata hivyo binti wa mungai ameolewa na bwana mmoja ambaye anatokea huko huko houston
kwikwikwikwikwiMungai ni mmoja wa matajiri wenye rasilimali kubwa hapa nchini. Kama ni Marekani labda kuhamishia tuu hiyo nyumba ndogo na yeye kuendelea kwenda kulamba tuu asali ila mzinga amechongea Mufindi Tea Estate na TATEPA. Jamaa anaijua hela, ni jeuri na kiburi cha kina Mkwawa, ni bora afe kuliko kuikimbia nchi.
Wapo akina Angel Lola luv.....hivi vijizee vinatumia Viagra,eh?Pia kwa Mungai ninayemfahamu mimi ni mzee wa Totos dogodogo kuku wa kienyeji, akihamia huko Marekani kuku hao apate wapi?.
Pia kwa Mungai ninayemfahamu mimi ni mzee wa Totos dogodogo kuku wa kienyeji, akihamia huko Marekani kuku hao apate wapi?.
Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.QUOTE]
Hivi hii ina uhusiano na EPA?? Ama JK sasa ameamua kufumua kila sehemu??
Hata hivyo binti wa mungai ameolewa na bwana mmoja ambaye anatokea huko huko houston
MMMM.....thats good coment but not inteligent one, you know thats the price of being a public figure.Leave my Uncle Alone!.....You all need to mind ya" own businezz 4shoo.
Kuna nyepesi nimezipata kuwa Waziri mstaafu Mzee Mungai (Mbunge wa Mufindi) yuko katika mchakato wa kuihamisha nyumba ndogo yake na watoto wawili kwa hiyo nyumba ndogo kwenda kuishi Marekani. Hiyo nyumba ndogo ni binti wa kimanga/kihehe anaitwa Wahida Mohamed, na watoto wake ni Sandra na Jacoby walio na umri wa miaka 10 na 7.
Mtu aliyenipa taarifa hizi juzi jumatatu, aliniambia kuwa
usiku kimya kimya, na hakumuaga hata mke wake wa ndoa ambaye aliondoka Dar jumatano kwenda Mafinga - Iringa kwa Christmas.
Mtoa taarifa anasema aliona maombi ya visa za USA kwa hao watajwa wanne na yalikuwa na reference numbers: B1O810F1M3, R1OE21QIDQ, H1O812DI5B na F1O80XYPS9, na interview yao ilipangwa kuwa jumanne Dec 16 asubuhi. Hajajua kama wote walipata visa au vipi.
Nimejaribu leo kumtafuta kwa simu Mungai kupitia number zake mbili bila mafanikio.
Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.
Sijapata nyeti zo zote kama kuna upelelezi wo wote unaendelea katika mojawapo ya hizo tuhuma hapo.
Mods, kama hapa siyo mahali pake hii basi ipelekwe kunakopaswa.
Kaka Kiungani angalia vyanzo vyako vya habari vizuri....Si kweli kwamba Mzee Mungai yupo kwenye list ya wanaotakiwa Mahakamani....Huko wasubiri akina Karamagi,Mrisho,Rostam,Kejo na Chenge hao ndio mpaka sasa inajulikana kwamba wataitwa Mahakamani kama sio hii Dec basi ni mapema Januari.
Ni kweli Mzee Mungai yupo USA ,sio Houston bali yupo Dallas ambako watoto wake ndio wanapoishi,Mzee huyo anakwenda Usa mara kwa mara na watoto wake wote wanne wanaishi/kusoma huko (kwa sasa wawili wapo Tanzania).
Mzee amekwenda Dallas kwenye Mahafali ya Mtoto wa Mdogo wake na wala si vinginevyo.
Mzee Kiungani tafuta mawasiliano na watu wa DallasBongo ujue na labda upate nafasi ya kuzungumza na Mbunge,Lakini Bandiko lako lina walakini rudi kwenye vyanzo vyako vya habari uutafute ukweli.
MMMM.....thats good coment but not inteligent one, you know thats the price of being a public figure.
Kuna nyepesi nimezipata kuwa Waziri mstaafu Mzee Mungai (Mbunge wa Mufindi) yuko katika mchakato wa kuihamisha nyumba ndogo yake na watoto wawili kwa hiyo nyumba ndogo kwenda kuishi Marekani. Hiyo nyumba ndogo ni binti wa kimanga/kihehe anaitwa Wahida Mohamed, na watoto wake ni Sandra na Jacoby walio na umri wa miaka 10 na 7.
Mtu aliyenipa taarifa hizi juzi jumatatu, aliniambia kuwa Mungai atatangulia Marekani (Houston, Texas) na atafuatiwa na family yake baada ya wiki moja. Mungai ni kweli ameondoka hapa Bongo kwa KLM alhamisi Dec 18 usiku kimya kimya, na hakumuaga hata mke wake wa ndoa ambaye aliondoka Dar jumatano kwenda Mafinga - Iringa kwa Christmas.