Binafsi ninamheshimu sana Said Kubenea kwani ni miongoni mwa waandishi wenye misimamo hasa kwa yale wanayoamini kuwa ni kweli, lakini wasiwasi wangu unakuja baada ya kusoma makala zake nyingi nimegundua zinamhusu Lowassa, kitu kilichonifanya nidhani kuwa kuna tatizo kati ya wawili hawa na si ufisadi kama anavyochukulia Kubenea kama mwanvuli.
Maana kila toleo, tena kwenye ''front page'', utakuta mara Lowasa hivi, mara Lowasa vile, ilimradi tu amseme Lowasa.
Sio kama ninamsemea Lowasa, hapana. Ila tu kama kweli Kubenea unania ya dhati ya kupambana na ufisadi, basi sema juu ya ufisadi na sio Lowasa tu kila siku, mbona kuna mafisadi wengi tu nji hii.
Leo ni Jumanne, kesho Mwanahalisi litakuwa mtaani, habari kuhusu Lowassa ninatarajia kuikuta tena kwenye front page.
Hata watu wa haki za bina damu wanasema "hate the the vice and not the person".
Nakushauri bwana Kubenea utafute namna nyingine ya kukemea ufisadi la sivyo watu wataanza kupoteza imani na wewe.
hata mimi inanikera ,fisadi ni lowasa peke yake?kubenea sema ulilonalo moyoni kila siku lowasa tulio wengi tumechoka na nyinyi waandishi mmezidi kopotosha umma wa watanzania!
Hata watu wa haki za bina damu wanasema "hate the the vice and not the person".
hata mimi inanikera ,fisadi ni lowasa peke yake?kubenea sema ulilonalo moyoni kila siku lowasa tulio wengi tumechoka na nyinyi waandishi mmezidi kopotosha umma wa watanzania![/QUOTE]
Cool girl,(mbona uko hot ilhali unajiita cool?)
Umma wa watanzania haujapotoka labda ni wewe na wenzako wachache ndio mmepotoka kwa kutoelewa kwanini Kubenea ameamua kumshughulikia fisadi Lowasa.
Na mliochoka ni nyie nyie vizazi vya kifisadi.Haiwezekani kama mtu hufaidiki na ufisadi wa Lowasa usimame mbele ya watu na kuanza kumtetea!
Tuliwaona wakati aliporudi nyumbani kwenu monduli mlivyompokea kwa shangwe kwa kuwa alikuwa anatufisadi watanzania kwa faida ya wachache angalau watu wake wa karibu mlifaidi japo pilau na nyama.
Watanzania wametoa hadi tone la mwisho wakichangia maendele halafu Lowasa pamoja na mafisadi wenzake wanaendelea kutuibia halafu mnasema mmechoka kumsoma Lowasa kila siku katika mwanahalisi.
Hao wengine waandikeni nyie, Kubenea anaandika kitu anachokifahamu na ana ushahidi nacho, sio majungu kama wengi mlivyozoea.
Hivi huyo fisadi si alitishia kumburuza Kubenea mahakamani?mbona hajatekeleza?anaogopa nini?si anajua huko ndiko mchele utamwagwa!
Kama mmechoka kumsoma fisadi wenu kwenye mwanahalisi, someni magazeti mengine, kwani mmelazimishwa kulisoma mwanahalisi?
KEEP IT UP KUBENEA! hakuna kuwapa mafisadi nafasi ya kupumua, hadi watakaporudisha walivyokwiba au kuacha ufisadi na kutubu mbele ya watanzania wote.
Vinginevyo mapambano yanaendelea hadi kieleweke.
Wale wale! Nani asiyejua kuwa mafisadi wanatumia pesa waliyotuibia kujisafisha? ni pale watakapopigwa mawe na wananchi wenye hasira kali hadi waikimbie nchi.Binafsi ninamheshimu sana Said Kubenea kwani ni miongoni mwa waandishi wenye misimamo hasa kwa yale wanayoamini kuwa ni kweli, lakini wasiwasi wangu unakuja baada ya kusoma makala zake nyingi nimegundua zinamhusu Lowassa, kitu kilichonifanya nidhani kuwa kuna tatizo kati ya wawili hawa na si ufisadi kama anavyochukulia Kubenea kama mwanvuli.
Maana kila toleo, tena kwenye ''front page'', utakuta mara Lowasa hivi, mara Lowasa vile, ilimradi tu amseme Lowasa.
Sio kama ninamsemea Lowasa, hapana. Ila tu kama kweli Kubenea unania ya dhati ya kupambana na ufisadi, basi sema juu ya ufisadi na sio Lowasa tu kila siku, mbona kuna mafisadi wengi tu nji hii.
Leo ni Jumanne, kesho Mwanahalisi litakuwa mtaani, habari kuhusu Lowassa ninatarajia kuikuta tena kwenye front page.
Hata watu wa haki za bina damu wanasema "hate the the vice and not the person".
Nakushauri bwana Kubenea utafute namna nyingine ya kukemea ufisadi la sivyo watu wataanza kupoteza imani na wewe.
UKITAKA KUMPIGA NYOKA ANZA KICHWA KWANZA. LOWASSA ni kichwa cha ufisadi Tanzania. MENGINE NI BLAH BLAH.
Hata magazeti yote yakiandika kila siku, habari za ufisadi wa Lowassa hazitakwisha maana hata leo kuna ufisadi mwingine unafanyika, ndio maana wakati kina mwanyika wanaanza kuchunguza EPA, kina Lukanza na wenzake walikuwa wanachoma nyama kule Monduli na walichangia katika harambee hadharani pale Arusha. Kumbukeni.
Suala la Nape ni ufisadi mwingine wa Lowassa ambao uko katika chati, sasa unategemea nini? Gazeti linalotaka kuandika ukweli kuhusu ufisadi haliwezi kumkwepa Lowassa hata kwa mawe.
Kama una uhusiano na Lowassa, nenda kamsalimie binti kutoka Handeni anayeitwa Mwajabu Ibrahim, anayefanya kazi nyumbani kwake na ambaye alipojiuzulu 'aka-mjiuzulisha' mtoto wa watu ili ahame naye. Mwambie akupa kadi zake za benki ukaone ana fedha kiasi gani ukilinganisha na za kwako unayehangaika na kazi usiku na mchana. Hiyo ni ili mujue tunajua mengi.
hata mimi inanikera ,fisadi ni lowasa peke yake?kubenea sema ulilonalo moyoni kila siku lowasa tulio wengi tumechoka na nyinyi waandishi mmezidi kopotosha umma wa watanzania![/QUOTE]
Cool girl,(mbona uko hot ilhali unajiita cool?)
Umma wa watanzania haujapotoka labda ni wewe na wenzako wachache ndio mmepotoka kwa kutoelewa kwanini Kubenea ameamua kumshughulikia fisadi Lowasa.
Na mliochoka ni nyie nyie vizazi vya kifisadi.Haiwezekani kama mtu hufaidiki na ufisadi wa Lowasa usimame mbele ya watu na kuanza kumtetea!
Tuliwaona wakati aliporudi nyumbani kwenu monduli mlivyompokea kwa shangwe kwa kuwa alikuwa anatufisadi watanzania kwa faida ya wachache angalau watu wake wa karibu mlifaidi japo pilau na nyama.
Watanzania wametoa hadi tone la mwisho wakichangia maendele halafu Lowasa pamoja na mafisadi wenzake wanaendelea kutuibia halafu mnasema mmechoka kumsoma Lowasa kila siku katika mwanahalisi.
Hao wengine waandikeni nyie, Kubenea anaandika kitu anachokifahamu na ana ushahidi nacho, sio majungu kama wengi mlivyozoea.
Hivi huyo fisadi si alitishia kumburuza Kubenea mahakamani?mbona hajatekeleza?anaogopa nini?si anajua huko ndiko mchele utamwagwa!
Kama mmechoka kumsoma fisadi wenu kwenye mwanahalisi, someni magazeti mengine, kwani mmelazimishwa kulisoma mwanahalisi?
KEEP IT UP KUBENEA! hakuna kuwapa mafisadi nafasi ya kupumua, hadi watakaporudisha walivyokwiba au kuacha ufisadi na kutubu mbele ya watanzania wote.
Vinginevyo mapambano yanaendelea hadi kieleweke.
KUBENEA ni mboni ya jicho asiguswe huyo. Kila habari anayoandika ni investigated, researched, analysed and verified. Keep it up Kubenea. Jamani tumkandie aliyepost hii habari ya LOWASA VS KUBENEA mpaka ajione mdogo kama chawa then aondoke humu ndani akaanzishe forum yake ya kifisadi na mafisadi wake. Umeuwasha moto itakuwa kazi kuuzima. Pole sana.
Iwapo Lowassa ni fisadi na gateti la Kubenea limadhamiria kupiga vita ufisadi kuna ubaya gani wakimuandika fisadi Lowassa na ufisadi wake kwenye kila toleo?
Halisi ,sasa umeamua kuweka ukweli hadharani kuhusiana na Mwajabu, kwani hata miye nimesikia habari zake na ana tuaccount tuko pale Barclays, na benki nyingine huku akijuzungusha jijini na rav4,benz na vitara moja nyeusi , kumekucha jijini.
kwanza aulizwe amemaliza kulipa alichokiita deni la Rostam Aziz?