Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,627
- 146,749
1.SI USTAARABU KUMWACHA MTU GHAFLA .....KUNA MADHARA MENGI.
2.UNAWEZA KUMWACHA MTU TARATIBU....HASA WAAFRICA.
3.KABLA HUJAMUACHA MTU KWANZA TAHMINI ANAKUPENDA KIASI GANI.BAADA YA HAPO UTAJUA NAMNA YA KUMUACHA.
4.WAPO WANAOACHANA KWA UGOMVI MATUSI, KASHFA VIPI NYIE?HAIFAI na ni aibu
5.KUMBUKA KUWA MTU WAKO UNAEMPIGA CHINI LEO ANAWEZA VURUGA HUKO UNAKOENDA kuweni wastaarabu.[/QUOTE]
Ulishawahi kushuhudia the most extreme case ya hapo pekundu? Kuna watu wan vurugu hadi milele!
Ehheeee shosti..endelea....NN unaamka asbh unajihisi kum=miss sana umpendaye unaamua kumwambia mara jibu linakuja aaaaaah hata mi nimekumiss sana lakini nimeoa last week!!!!!!!!
experience za kuachwa with no indicators ni mbaya sana!! u might end up doing something very stupid.
kidonda chake kigumu kupona, atahri zake huwa za muda mrefu saaana jamani!!
kitamu wewe unakiona shubili
una kuwa na vita against the whole world, kila mtu mbaya tu kwako......
.............................why am I recalling this???????????
Ehheeee shosti..endelea....
Bora kugombana kidogo sio ili utimize kuwa dalili za mvua ni mawinguMbaya zaidi ni pale unapoachwa kwa ghafla bila hata kuona dalili.
Kuacha kubaya sana;
Niliyemuacha sikupata nafasi ya kumwomba msamaha na sintoipata kwani aliji:HEHE ..........................nadhani nimeeleweka.:angry:
Moja ya vitu vibaya sana katika mahusiano ya kimapenzi ni kuachwa na mpenzi wako (to get dumped). Mbaya zaidi ni pale unapoachwa kwa ghafla bila hata kuona dalili. Unastukia tu mwenzako anakata mawasiliano. Hakupigii tena simu. Ukimpigia yeye hapokei. Ukimwandikia waraka wa elektroniki (email) hakujibu wala nini. Haya yote yanatokea siyo kwamba kapotea na hakuna anayejua yuko wapi. Unajua yupo kabisa na jumbe zako zote unajua anazipata lakini hazijibu kwa makusudi tu.
Pole pole fikra za kuachwa zinaanza kukujia kichwani. Mara unaanza kushikwa na machungu moyoni. Unajiuliza mengi lakini hupati majibu. Unaanza kujiuliza pengine labda kuna kitu ulimkosea....unajiuliza weee hadi kichwa kinaanza kukuuma lakini hupati jibu. Hukumbuki hata kidogo kama ulimkosea kitu maana mara ya mwisho mlipokuwa wote kila kitu kilionekana kuwa shwari na mkaagana vizuri tu kama ilivyo desturi yenu.
Mwishowe unakuja kustukia tu kuwa umeachwa na hiyo ndiyo hali halisi na ndiyo ukweli wenyewe. Nguvu zinakuishia mwilini. Maumivu unayasikilizia kuanzia kwenye moyo hadi tumboni. Maisha unaanza kuyaona kama hayana thamani tena. Hata hamu ya kula inaisha. Unajiuliza hivi kwa nini mimi (why me).
Mdau, umewahi kuachwa au kumwacha mpenziyo? Kama uliwahi kuachwa ulijisikiaje na ulikabilianaje na hali hiyo? Ulilia? Ulijikaza tu kisabuni hadi ukapoa? Na kama umewahi kumwacha mpenziyo, ulimwacha achaje? Ulimwambia au ulitimka tu kimya kimya na yeye akaja kustukia baadaye?
MJ Pole sana masikini......... jamani kuna maamuzi mengine huwa tunayatake for granted. Pole MJKuacha kubaya sana;
Niliyemuacha sikupata nafasi ya kumwomba msamaha na sintoipata kwani aliji:HEHE ..........................nadhani nimeeleweka.:angry:
MJ Pole sana masikini......... jamani kuna maamuzi mengine huwa tunayatake for granted. Pole MJ
Nilijifunza somo moja kubwa sana maishani! nyie acheni tu! Lakini naamia huko aliko amenisamehe! I take comfort in that!
moja ya vitu vibaya sana katika mahusiano ya kimapenzi ni kuachwa na mpenzi wako (to get dumped). Mbaya zaidi ni pale unapoachwa kwa ghafla bila hata kuona dalili. Unastukia tu mwenzako anakata mawasiliano. Hakupigii tena simu. Ukimpigia yeye hapokei. Ukimwandikia waraka wa elektroniki (email) hakujibu wala nini. Haya yote yanatokea siyo kwamba kapotea na hakuna anayejua yuko wapi. Unajua yupo kabisa na jumbe zako zote unajua anazipata lakini hazijibu kwa makusudi tu.