Huh!hayo ndp mapenzii,
niliwah kiutana na dada mmoja aksema wanaume ma handsome sio sio makini na hawawezi kusimamia mambo mengi ya kifamilia
Mbona kwenye hizi sioni cha kushangaza? Huyu Michael Douglas alikuwa Sexiest Man Alive mwaka mmoja kama sikosei.Is Love all about blindness or something else?..
Why do hot Women Love ugly Men..or
Rich, famous or extremely good looking men getting average or below average women ?
LOVE IS MONEY====if you have money you can be loved...no doubt about it.
Ndoa sio u-handsome na u-beauty tu kuna vitu vingi mtu huwa anaangalia.
Kwanza mwanamme akiwa handsome huwa anaringa sana kwa sababu vibibi vya nje huwa vinamfuatilia sana.
Na mwanamke akiwa mzuri sana pia ni kasheshe kwa mume wake maana huringa na kujiona kuwa anapendwa na wanaume wengi.
Kwa wote wa aina hii wivu na kutoaminiana huvuruga amani nyumbani