Kwangu his most embarassing speech ni pale aliposema maisha bora kwa kila Mtanzania. Nilijua kutokana na rekodi yake hataweza lakini nikabishiwa, nikabezwa, nikaambiwa JK we acha tu...
hii sio mchezo bwama KULA ULIWE
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.
NB:
..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.
Kwa hiyo?Ndugu yangu hata nchi nipewe mimi au wewe au yule, kamwe haiwezekani kuleta maisha bora kwa KILA mtanzania. Si mtalamu wa Jiographia au siasa au history; naomba kuuliza kuna nchi hapa duniani ambayo KILA mwananchi wake anamaisha bora?....jamaa yangu hapa ananiambia Luxembourg.
KILA mtanzania kuwa na maisha bora ni kazi....haiwezekani. Si kwamba nimekata tamaa kuwa raisi wetu hataweza, nachofahamu na nilivyofahamu tangia hii style ya uombaji wa kula KAMWE maisha bora kwa KILA mtanzania hayataletwa. Inawezekana "kwa kila mtanzania" ina maana yake.
Ni kweli watanzania yatubidi kufanya kazi kwa bidii ili tuwe na maisha bora; lakini kumbuka background ya mtu, mazingira ya mtu, uwezo wa mtu na support ya mtu. Hivi vyota, na mengineyo, yanamfanya mtu kuwa na uwezo wa kujuwa/kufikili ni jinsi gani ya kutatua au ya kuwa na maisha bora. mf Elimu tuipatayo mashuleni, shule nyingi zilizopo Tanzania, si elimu inayoweza kumkwamua mtu pindi aiishiapo kidato cha nne. Haimfanyi mtu awe endelevu. Hebu fananisha contents za mtu wa computer science aliemaliza pale UDSM na yule aliemaliza pale Bath university; je wanafanana? waliandaliwaje walipokuwa primary, secondary au utotoni.
Kwahiyo, HATA NIWE MIMI AU WEWE AU YEYE AU YULE, kamwe haiwezekani kuleta maisha bora kwa KILA mtanzania
ni kweli na ndio hayo ya kuchagua rais bosheni kutoka saigoni mpaka ikulu,sasa story zote za kijiweni sasa ndo anatupigia sisi,hajui hata kama yeye ni mshika nchi na kuna maneno inabidi afikirie kabla ya kuropoka,na bado badae usishangae rais akawa komba,au kinje,au tambwe hiza hayo ndo mambo ya nambari wani CHAMA CHA MAFISADItatizo la JKanapiga sana story za kijiweni na watoto wake na marafiki wa watoto ndio maana anaweza kuongea pumba kama hio uliotaja "nataka kuibadilisha mwanza kuwa kama california".jamaa hayuko serious na hana kipaji cha kuwa kiongozi kabisa.
Kwani california ni JIJI or state?mara nyingi kikwete akizungumza huwa sometimes nafeel embarased
top three ya mazungumzo ya kikwete yaliyo ni disapoint ni hii
1.alienda mwanza mara baada ya kuchaguliwa kuwa rais
alizungumza mengi lakini mwisho alisema namnukuu 'wananchi wa mwanza nataka kulibadilisha hili jiji lenu liwe kama carlifornia ' na hii ilikuwa hadharani kwenye uwanja wa ccm kirumba.
Then pale aliposema "Kula uliwe"
..................Then kuna pale aliposema "Tanzania haifanyi chochote tofauti kukabiliana na mchafuko wa mfumo wa uchumi wakimataifa"...............