Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
vitoto vya amoeba vingi aiseeKweli kiherehere wa kweli, mwanaharakati, una kadi ya chadema, anza kuchangisha michango ya harusi
ndugu yangu, malezi tu ya huyo ndugu yetuYa kweli? kubadilisha madini na vyandarua! Lol
Kikwete: Teh teh teh teh!!! Hapa nilikuwa naongea na balozi wa marekani, anasema Obama amemhakikishia ataendelea kumwaga misaada Tanzania.
Utadhani anapewa bure. Nchi imejaa rasilimali cha ajabu anaenda kuomba vyandarua akibadilishana na Madini yetu.
Kumkumbuka JK ni kuamsha pressure ambazo zilikuwa dormant huko mwilini!
Kwanza hata jana alipotangazwa mshindi alionyesha sura ya mashaka sana na kutojiamini!
Wizi ni mbaya sana![/QUOTE]
ndiyo PJ.
Maisha yako yote, ogopa sana kufanya kitu kibachoitwa unafiki
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika mbele za mungu kuwa hukuwa chaguo halisi la kuwa Raisi wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa) kwa kuwa umeprove failure, LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha msije kunya maji kwa karai. Ondoa washauri uchwara, Wapambe nuksi,Kujipendekeza kwa balozi wa marekani (anakudharau),safari za kuomba vyandarua nk Badilika baba nchi itakushinda..
ridhiwani umeanza hata aibu hunaUmeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM (SIO KWELI CCM NI MOJA) , na wa SERIKALI (HEBU WATAJE) ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI (WANAFAA NDIO MAANA YUKO NAO) ?? Badilika (ATABADILIKA KWA MUJIBU WA KATIBA) ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" ( KWANI HILO SIO JIBU, MWALIMU WAKO ALIKUAMBIAJE?) Ninao uhakika mbele za mungu (MUNGU UNAMJUA WEWE?) kuwa hukuwa chaguo (NI CHAGUO LA WENGI KASORO WW ZEZETA TU ) halisi la kuwa Raisi (AMEISHA KUWA SASA JINYONGE) wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa)(WEWE HATA UKATIBU WA KAMATI YA HARUSI HAUKUFAI) kwa kuwa umeprove failure (MBONA WEWE KWENYE FAMILIA YAKO UME PROVE FAILURE,MWAKA WA 10 HUU MKEO HUJAMZALISHA) , LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha ( WA KUONGOZA NCHI 2010-2015) msije kunya maji kwa karai (KWANI HALIFAI KUNYWEA MAJI) . Ondoa washauri uchwara (TUKUCHUKUE WW?) , Wapambe nuksi (WEWE UKIWEMO) ,Kujipendekeza kwa balozi (ANAONGEA NAO) wa marekani (anakudharau) (MBONA WEWE FAMILIA YAKO YAKUDHARAU?) ,safari za kuomba vyandarua (MBONA UMEVICHUKUA SASA) nk Badilika baba nchi itakushinda (WANANCHI TUPO NAE HAWEZI KUSHINDWA, FIGIRI MAJI WEWE)
that's where i tend to not agree with everybody.
huyu jamaa huwa anakwenda kupata matibabu ya maradhi yake 'hatari'
hiyo vyandarua geresha tu.
Huyu GeniusBrain nadhani ana tatizo la Ugonjwa wa kuanguka hovyo kama jamaa yake.
ridhiwani umeanza hata aibu huna
"jini-ass Brain" hamna kitu, hapa tunahitaki mambo ya kufikiria kwa kina, kama wewe ni mmoja wao basi ni vyema mkajipanga upya maana nafasi ya kuchukua tena nchi hii haipo so ni vyema kujiandaa kwa kujibu tuhuma za ubadhilifu kwa kuwa baba yako yuko madarakani.Unahitaji mzazi mwenye maamuzi magumu, umepata bahati ya kuwa Rais ni vyema ukasimamia katiba kwa kufanya maamuzi kulingana na nyadhifa uliopewa sio KUCHEKACHEKA TU!! yeye kaweza kudili na Liyumba, lakini ameshindwa kudili na watu ambao wnaiba kila siku.