Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,766
Kamati yake ya Kampeni inaongozwa na hawa wafuatao:
1. Abdulrahman Kinana- Muislam
2. Yusuph Makamba-Muislam
3. Salma Kikwete- Muislam
4. Miraji Kikwete- Muislam
5. Ridhiwan Kikwete- Muislam
6. Rashid Shamte- Muislam
7. Mohamed Garib Bilal- Muislam
Kampeni zake zinachagizwa kwa mbwembwe na madaha zikihusisha Radio Iman, Raio Quran, Sauti ya Adhana.
Awali magazeti ya Annuur na Alhuda yalikuwa yakimtukana Slaa kwa matusi ya Ubaguzi uliopitiliza,serikali haijakemea wala haikuona kama hiyo ni tishio la umwagaji damu badala yake wakatishia magazeti makini ya Mwananchi na Mwanahalisi.
Leo imedhihirika kuwa matusi yote yaliyoelekezwa kwa Slaa(PhD) toka kwenye magazeti hayo yanayomilikiwa na Taasisi za kiislam yalilenga kumnufaisha JK(BA Economics) na ndio maana hayajakemewa na serikali.
Gazeti la Alhuda leo limekuja na kichwa cha habari JK ASUBIRI KUAPISHWA kichwa kingine SLAA AZIKATAA KURA ZA WANAWAKE WA KIISLAM.
Gazeti la Taifa Tanzania ambalo linahaririwa na Prionce Bagenda chini ya mwamvuli wa Mafisadi limekuja na habari ya kupika ambayo inawafarakanisha waislam na wakristo. Habari hiyo ipo kwenye frontpage ya kijarida hicho.
Mtazamo wangu, JK ni mdini, na kama ni hivyo nchi hii chini ya utawala wake kama akifankiwa kuiba kura na kutangazwa mshindi atawezaje kuyaunganisha makundi haya hasimu kwa imani za dini?
Rafiki yangu mmoja mkristo ameachana na mwanamke wake wa siku nyingi kwa sababu za siasa zilizoegemea kwenye udini. Mwanamke pamoja na kutambua kuwa JK hajui na hawezi kutawala amesisitiza kuwa atamchagua JK kwakuwa tu ni dini moja na ya kwake. Zogo likazidi na hivi sasa tupo kwenye kusuluhisha.
Tuna kazi kubwa baada ya Uchaguzi!

Kama statistics basi tunaweza kusema JK kawapendelea wakiristo mfano zaidi ya 65% ya mawaziri ni wakiristo, wakuu wa mikoa wengi ni wakiristo, wakuu wa wilaya, majajina karibia kila sekta wengi ni wakiristo. JK hana hata chembe ya udini ila nyie ndio mtaka kuleta mambo hayo ya udini. Tuachane na proganda siziso na tija kwa taifa letu hakuna atakayeumia pindi mambo yakiharibika ila ni mimi na wewe au ndugu zetu. Mungu ibariki Tanzania.kikwete ni mdini sana. hata ukipitia wizara zote angalia idadi ya waislam kuanzia makatibu wakuu mpaka wakurugenzi wasaidizi. tuwe wakweli jamani. huyu jamaa ni mdini wa chinichini anakwenda kwa vitendo tu. lakini tabia yake hiyo itamtokea puani tarehe 31 oktoba 2010.
Unabii huu haukutimia kwa kuwa ulikuwa wa uongo tangu mwanzo. JK hajawahi kuwa mdini kwa namna yoyote unayoweza kumuelezea. Na leo hii hata upinzani wanashuhudia kuwa JK ni miongoni mwa marais bora kabisa ambao nchi hii imepata kuwa nao. Na japo wanapinga kila JPM anachofanya au kusema, atakapostaafu watakuja hapa na kusema wanamkumbuka au wanam-miss! Siasa za upinzani katika nchi yetu zimekosa consistency of issues, wanang'ang'ania matukio na kauli tu, zikikishapita wakati wake wanakosa hoja.kikwete ni mdini sana. hata ukipitia wizara zote angalia idadi ya waislam kuanzia makatibu wakuu mpaka wakurugenzi wasaidizi. tuwe wakweli jamani. huyu jamaa ni mdini wa chinichini anakwenda kwa vitendo tu. lakini tabia yake hiyo itamtokea puani tarehe 31 oktoba 2010.
Adui Mkubwa wa Uongo ni Muda.kikwete ni mdini sana. hata ukipitia wizara zote angalia idadi ya waislam kuanzia makatibu wakuu mpaka wakurugenzi wasaidizi. tuwe wakweli jamani. huyu jamaa ni mdini wa chinichini anakwenda kwa vitendo tu. lakini tabia yake hiyo itamtokea puani tarehe 31 oktoba 2010.
Nikweli mkuu lakini angalia nyuzi ni mwaka gani,nafikiri pia utajua miaka hiyo niwatu wa aina gani walikuwa member wa JF.Mbona hizi threaza Kikwete ni mdini hazifiki hata page tatu lakini thread inayosema Magufuli ni mdini inatoboa page 20 ?