Kamari ni umaskini!

Anayebeti anakaribisha umaskin kwake.
 
Hamna hela hapo ni upumbavu tele.na ndo maana hamna mwanakamaria tajiri wote ni maskini.wamejaa laana hawa watu.
Kamari ukiwa kichwa panzi lazima utoe milio kama hii
 
Bet for fun siyo kutafuta pesa.

Stake what you can afford to loose
 
Binti ku nani tena, si ulitangaza kuwa utajiua?

Usiniambie kuwa umefufuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…