Kuna ndugu yangu mmoja wa Arusha aliambiwa akamtambue mtu ambaye si kati ya wale waliomvamia kuwa ni jambazi. Hiyo ni baada ya kuonyeshwa mtu mwenyewe ni yule hivyo tukiitisha gwaride ukamtambue. Yeye alikataaa kabisaaaa!!!!!!!!!!!!!!!kilio cha polisi kubambikia watu kesi hakijaanza leo, mbona wengi wamebambikiwa bangi , unga na upuuzi mwingine, ili kukidhi matakwa yao ya muda mfupi au mrefu.....ila kilio hiki sasa kimepata pakusikikia, aibu kwa Kova aibu kwa jeshi zima la POLICE.
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...
Wana JF
Sidhani kama tutakuwa tunamfanyia haki kamanda kova kwa kumtaka ajiuzulu kwa sababu ya sakata hili. Huyu kamanda ni mchapakazi sana lakini tatizo lake anapenda media attention sana. Amekuwa akifanya hivyo kili sehemu aliyokaa, kwa bahati mbaya hajawahi kujikwaa kama alivyojikwaa kwenye sakata hili[watoto wa dar husema amebugi stepu] nina uhakika hata yeye ndani ya moyo wake anajuta na anatafuta namna ya kujinasua na mtego huu[ kutokana na kauli yake ya juzi-kuwa hana matatizo na jerry ila awasilishe risiti za pingu].
Nadhani hapa somo kwake ni kuwa kwenye kila tamu basi kuna chungu yake- KARIBU DARISALAAM MHESHIMIWA KAMANDA
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...
Abunuwas you are talking about J.Muro here! he is journalist and popular
Je watu wangapi wasiojulikana wanafanyiwa mambo ya aibu wengine wamefungwa wakiwa innocent, watu wanatubu makosa kwa kuteswa, watu wanabambikiziwa kesi n.k. Suppose angekuwa amepoteza hiyo risiti! na wengi sie so watunzaji wa risiti.
I thought You would have think beyond this Muro saga, just scratch a surface a little bit or see in this issue in other dimensions. I am pretty sure you will conclude that many police are monsters and Kova is a big monster! so he must GO! even if he will not go by my voice.