sasa kaka wewe ulitaka waume maneno wakati ni kweli walifanya uasherati huo, kwa ujumla ni aibu kwa wao wenyewe na familia zao.hii ishu imetokea live!
Nina majirani zangu ambao nyumba zetu zinatazamana hapa uswahilini!
Kumetokea kituko cha mwaka ndani ya familia yao!
Kuna mabinti wawili wakubwa wa nyumba hiyo ambao walishaolewa na wana watoto, ambapo pia watoto hao ni wakubwa!
Ilitokea hali ambapo mtoto wa dada mkubwa (mvulana), na mtoto wa dada mdogo (msichana ) walikuja hapo jirani kwa bibi yao, lakini katika hatua ya ajabu, wakaanzisha mambo ya mapenzi, wakatundikana mimba , na binti amejifungua mtoto wa kakake, na walipoulizwa walikubali jambo hilo bila ya shaka wala kurefusha maneno!
Wazazi wa pande zote mbili wamewasusa watoto hao hapo kwa bibi yao, na hawajapita kuwatazama toka ishu hiyo itokee!
Je hali kama hii watai`handle namna gani hawa jirani zangu?
Huo si uasherati tu. Ni incest!sasa kaka wewe ulitaka waume maneno wakati ni kweli walifanya uasherati huo, kwa ujumla ni aibu kwa wao wenyewe na familia zao.
Huo si uasherati tu. Ni incest!
Nawapa pole wazazi wa watoto hawa! lakini kukimbia tatizo sio utatuzi wa tatizo, kuwasusa hakuwasaidii hao wazazi wala watoto wakosefu. Wajaribu kuwa consult wazee wa jadi wa kabila lao huenda ufumbuzi ukapatikana.
Haya mambo kwa kweli yanasikitisha sana. Nilisoma na binti mmoja ambaye alikuwa bomba sana. Nadhani mama yake ama waliachana na baba yake au alifariki (sikumbuki viziuri) na walikuwa wakiishi Regent. Basi Mzee kila akipita huku na huko na kumuangalia binti yake alivyoumbika akaamua kufanya unyama wake wa kumtaka binti yake. Basi unyama wa yule Baba dhidi ya binti yake hatimaye wakapata mtoto ambaye alizaliwa taahira. Kuna umuhimu wa kuwa na sheria za kuwafungulia mashtaka wazazi (kwa maoni yangu hawastahili kuwa wazazi) kama hawa.
Tatizo sidhani kama hata sheria zita zuia baadhi ya watu kufanya mambo haya. Kwa sababu mimi I doubt the mental capacity ya watu wanao fikia kufanya mambo kama haya. Mtu mpaka afikie kufanya mapenzi na binti wake, mzazi wake au kaka/dada yake basi huyo mtu ni atakua na matatizo makubwa sana. Je sheria zita zuia watu wenye akili hizi kufanya hivyo?
Nadhani anatoa pole kwa grandpa, katika context yoyote huo ni uashereti. Zipo jamii na imani zinakubali mahusiano ya hivyo mf Waarabu. Mtoto wa mkubwa anaweza kuolewa si kuzini na mtoto wa mdogo ila hakuna jamii inayokubali (kwa uelewa wangu baba mmoja na mama mmoja, au waliochangia wazazi) kuona. Kama nipo sahihi hao kaka na dada hawajachangia wazazi bali wazazi wao ni ndugu. Otherwise turefushe mada kwa wale wenye mahusiano na binamu zao inakuwaje???Tatizo sidhani kama hata sheria zita zuia baadhi ya watu kufanya mambo haya. Kwa sababu mimi I doubt the mental capacity ya watu wanao fikia kufanya mambo kama haya. Mtu mpaka afikie kufanya mapenzi na binti wake, mzazi wake au kaka/dada yake basi huyo mtu ni atakua na matatizo makubwa sana. Je sheria zita zuia watu wenye akili hizi kufanya hivyo?
Nadhani anatoa pole kwa grandpa, katika context yoyote huo ni uashereti. Zipo jamii na imani zinakubali mahusiano ya hivyo mf Waarabu. Mtoto wa mkubwa anaweza kuolewa si kuzini na mtoto wa mdogo ila hakuna jamii inayokubali (kwa uelewa wangu baba mmoja na mama mmoja, au waliochangia wazazi) kuona. Kama nipo sahihi hao kaka na dada hawajachangia wazazi bali wazazi wao ni ndugu. Otherwise turefushe mada kwa wale wenye mahusiano na binamu zao inakuwaje???
Mwanafaslafa1, Ni kweli sheria haziwezi kuzuia matukio kama haya ya kinyama lakini angalau zinaweza kusaidia kuyapunguza kwa wahusika kuogopa athari za unyama wao.
Tuna sheria za kuwaadhibu wezi, majambazi ambazo pamoja na kuwa hazijazuia matukio zaidi ya ujambazi na wizi angalau labda zimesaidia katika kupunguza idadi ya matukio hayo.
Mie ninachoona hao wazazi si kwamba wamewasusa watoto bali wanaona aibu. Hivi kuna tofauti gani gani na mabinamu wanaooana? Maana wale wazazi ni kaka na dada, hawa wazazi ni dada na dada. Bado tu kidhungu ni uncles na aunt. Nadhani tuijadili hii kwenye context ya kibinam na tukubaliane kabisa hata binamu wanaokuwa na mahusiano au wameoana wanafanya makosa. Otherwise wapo right isipokuwa tu WAMEFANYA UZINIFUI understand you mkuu. Na kama ni hivyo wana stahiri adhabu kali kama za ubakaji na ulawiti.
It is true lakini utayari wa kuyakubali yaliyotokea ndio unahitajika. Though kama ulivyosema jamii nyingi na si ya hao yalipotekea. Busara inahitajika.Msiwe na haraka hivo kuhukumu kuna jamii nyingi tu duniani binamu wanaoana,nimeona Comoro na Indonesia.Nasikia hata Ufaransa ni poa tu.
Ni kweli mambo haya yanategemea utamaduni wa watu/jamii. Waarabu na huko ulikokuonesha mabinadamu wanahusiana bila shida hata kufunga ndoa. Lakini tukubai pia kwa jamii/makabila mengi tanzania yanaweka umbali mkubwa katika mahusiano ya kujamiiana. Kwa jamii nyingi mabinamu kujamiiana ni kosa kubwa na la aibu. Halikubaliki. Hii ikiwa pia ni kwa sababu za kiafya. Watu waliokaribu mno kwa damu (undugu) kuna hatari ya kuzaa watoto wakiwa na matatizo ya afya: ulemavu, utaahira, nk.Msiwe na haraka hivo kuhukumu kuna jamii nyingi tu duniani binamu wanaoana,nimeona Comoro na Indonesia.Nasikia hata Ufaransa ni poa tu.