Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....
Jina lako limebeba maana nzima ya kwa nini umekuja na bandiko hili...Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...
Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....
Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.
Kwa hiyo mwenye nacho aongezewe sio?
Hili ni jambo moja na kijinga kuliko lote nililowahi kusikia . Kabila teule maana yake nini ? Kwanza nani kakwambia kuna kabila la kichagga? Unajua tofauti na makabila mengine ndani ya wachagga hawazungumzi lugha moja . Kuna lugha zaidi ya 30 mule ndani ...mfano wachaga wa Machame, Rombo, Marangu , Kibosho n.k lugha zao ni tofauti kama kichina na kijapani . Ssa unapozungumzia wachaga ni vizuri kusema unazungumzia wachaga wa wapi.
Lakini jambo la msingi hapa ni kuwa hii topic ni ya kijinga na ambayo hiko too stereotypical.
tukienda hivi patakuwa hapatoshi. maana tutadai mengi usultani urejeshwe maaana nao ulikuwa na nguvu zaidi na maendelelo makubwa.
wengine watadai uchifu wengine watataka watu wa kabila fulani wahame ili wao wakamate eneo lao maana kurudi kwao nyuma ni kabila fulani.
fikra kama hizi ktk tanzania ilio huru hazina nafasi. akaungane na watu wa kongo kule wenye kudai sijui dola gani lirejeshwe na mipaka ivunjwe kongo na afrika ya kati na nchi za pale ziungane warejeshe utawala
Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....
Siyo siri yaani hata kama tuna uhuru wa kuandika chochote ni muhimu sana ukatafakari kabla ya kurusha hewani. Kwa kuwa hapa JF hakiharibiki kitu nadhani anajuta kwa maandishi yake MACHAFU YASIYO NA MAANA. NI MUNGU TU ALILITEUA TAIFA TEULE YAANI ISRAEL LAKINI SI HUYU "HOUSEGIRL" kuteua kile anachokiita kabila teuleHili ni jambo moja na kijinga kuliko lote nililowahi kusikia . Kabila teule maana yake nini ? Kwanza nani kakwambia kuna kabila la kichagga? Unajua tofauti na makabila mengine ndani ya wachagga hawazungumzi lugha moja . Kuna lugha zaidi ya 30 mule ndani ...mfano wachaga wa Machame, Rombo, Marangu , Kibosho n.k lugha zao ni tofauti kama kichina na kijapani . Ssa unapozungumzia wachaga ni vizuri kusema unazungumzia wachaga wa wapi.
Lakini jambo la msingi hapa ni kuwa hii topic ni ya kijinga na ambayo hiko too stereotypical.
Siyo siri yaani hata kama tuna uhuru wa kuandika chochote ni muhimu sana ukatafakari kabla ya kurusha hewani. Kwa kuwa hapa JF hakiharibiki kitu nadhani anajuta kwa maandishi yake MACHAFU YASIYO NA MAANA. NI MUNGU TU ALILITEUA TAIFA TEULE YAANI ISRAEL LAKINI SI HUYU "HOUSEGIRL" kuteua kile anachokiita kabila teule