Konakali yani huwezi amini ktk ushirikina huyo mwanaume hayupo kabisa maana nawafaham kwao vizuri sana labda sababu zingine tu! ila la ushirikina nina uhakika hakuna maana ningeona baadhi ya mambo, kwa mfano nimejifungua karibuni tu lakn mtoto hana shada lolote la uganga zaidi kasomewa hakika tu na kwa watu washirikina mtoto huyo angekuwa na kamba mwanzo mwisho! kwa wale wakrisitu hakika ni dua ambayo anasomewa mtoto wa kiislam akizaliwa ipo ktk quran hiyo hivo sio shiriki! kipo anachoficha lakn sio dumba

Salaam aleykum!
Wapendwa naomba mnijuze, mme wangu kila akisafiri anafunga kabati lake la nguo hii inaashiria nn? kipindi cha nyuma nilikuwa nampangia nguo zake baada ya kizinyoosha nikakuta kanga na haikuwa ya kwangu, nilimuuliza sikupata jibu la kueleweka, siku iliyofuata akafunga kabisa na kuondoka na funguo kw bahati mbaya nilikuwa sijamaliza kunyoosha nguo zote hivo nilipomaliza nafungua kabati limefungwa nikaweka nguo ktk kabati yangu mpk jioni alivorudi nikampatia nguo zake, j2 nilikuwa nafanya usafi wa nguo zake nimeshazinyoosha naenda kufungua kabati lake nakuta kafunga na hayupo nchini na atakaa huko km 1 month hivi jamani nimuelewe vp au ni kawaida kwa wanaume kufunga makabati? au anaficha nn? hii inanipa mawazo naona mnieleweshe
kweli labda mshirikina huyo lkn hiyo kanga nayo,
Ukome na kiherehere chako

bwanae we ndo mama mwenye nyumba
kama umejariu kuongea naye na haelewi somo wala darasa...
ngoja aende kazini "bomoa kabati"
Konakali yani huwezi amini ktk ushirikina huyo mwanaume hayupo kabisa maana nawafaham kwao vizuri sana labda sababu zingine tu! ila la ushirikina nina uhakika hakuna maana ningeona baadhi ya mambo, kwa mfano nimejifungua karibuni tu lakn mtoto hana shada lolote la uganga zaidi kasomewa hakika tu na kwa watu washirikina mtoto huyo angekuwa na kamba mwanzo mwisho! kwa wale wakrisitu hakika ni dua ambayo anasomewa mtoto wa kiislam akizaliwa ipo ktk quran hiyo hivo sio shiriki! kipo anachoficha lakn sio dumba
Inaelekea kuna Tatizo lipo tangu mwanzo, inakuwaje kila mtu na kabati lake katika chumba kimoja? Hivi mwanamume anakuwaga na kabati ehee?
anyway dada Nasra82, ushauri uliopewa na Afrodez ufanyie kazi, kama ulishamuuliza akasema alisahau na hajuhi kama kafunga ama la, we nenda katafute seremala na uvunje huo mlango akija atautengeneza tena
lakini kumbuka utakacho kiona uje utuambie
Basi rejea pendekezo namba tatu....! Nalo unalikataa?Konakali yani huwezi amini ktk ushirikina huyo mwanaume hayupo kabisa maana nawafaham kwao vizuri sana labda sababu zingine tu! ila la ushirikina nina uhakika hakuna maana ningeona baadhi ya mambo, kwa mfano nimejifungua karibuni tu lakn mtoto hana shada lolote la uganga zaidi kasomewa hakika tu na kwa watu washirikina mtoto huyo angekuwa na kamba mwanzo mwisho! kwa wale wakrisitu hakika ni dua ambayo anasomewa mtoto wa kiislam akizaliwa ipo ktk quran hiyo hivo sio shiriki! kipo anachoficha lakn sio dumba
Hivi kwanini usifungue hilo kabati? Fungua ujionee mwenyewe vilivyomo humo ndani kisha funga akili kichwani.
Hilo nalo neno!!! Akikuta Hirizi inapumua anaweza ama nyumba.wala usipate taabu unajua wengine wanazaliwa na viuchawi vyao toka utoto we kuwa mpole fatilia taratibu utajua tu