Mbwambo ni Great Mind, hana haja ya ya kutaja majina.Kama mzee Mwambo alimaanisha hayo aliyoyasema basi angetaja huyo waziri aliyepanda first class kwenda kuomba misaada wakati balozi wa nchi fadhili kapanda coach kwenye ndege hiyo hiyo. Na angetaja huyo waziri aliyekuja na shangingi kwenye project ya kujenga visima.
Anaogopa nini, si ataje? Au kama anaogopa kuwa sued basi hana hakika na anachokisema, ni kama mdaku tu.
Kama mzee Mwambo alimaanisha hayo aliyoyasema basi angetaja huyo waziri aliyepanda first class kwenda kuomba misaada wakati balozi wa nchi fadhili kapanda coach kwenye ndege hiyo hiyo. Na angetaja huyo waziri aliyekuja na shangingi kwenye project ya kujenga visima.
Anaogopa nini, si ataje? Au kama anaogopa kuwa sued basi hana hakika na anachokisema, ni kama mdaku tu.
Dilunga,Kama mzee Mwambo alimaanisha hayo aliyoyasema basi angetaja huyo waziri aliyepanda first class kwenda kuomba misaada wakati balozi wa nchi fadhili kapanda coach kwenye ndege hiyo hiyo. Na angetaja huyo waziri aliyekuja na shangingi kwenye project ya kujenga visima.
Anaogopa nini, si ataje? Au kama anaogopa kuwa sued basi hana hakika na anachokisema, ni kama mdaku tu.
Kama mzee Mwambo alimaanisha hayo aliyoyasema basi angetaja huyo waziri aliyepanda first class kwenda kuomba misaada wakati balozi wa nchi fadhili kapanda coach kwenye ndege hiyo hiyo. Na angetaja huyo waziri aliyekuja na shangingi kwenye project ya kujenga visima.
Anaogopa nini, si ataje? Au kama anaogopa kuwa sued basi hana hakika na anachokisema, ni kama mdaku tu.
Mbwambo ni Great Mind, hana haja ya ya kutaja majina.
Dilunga,
I know for a fact that US government officials travel economy on official duties. Kwa hiyo sishangai kama balozi wa Marekani Tanzania amesafiri economy wakati Waziri mkuu anayeelekea Marekani amesafiri first class.
... mawaziri wetu ndio kawaida yao wote!! sasa atawataja wangapi? We Dilunga nadhani huijui nchi hii;
Naona kuna ki-split kinatokea hapa between...
Unajua sana world history. Umewahi kusikia maneno kama haya, yalikuwa popularized na nani? Naomba jina tu.
Ukiona watu wanakubaliana kubaliana ovyo ovyo kila kitu ujue kuna matatizo hapo.
Huyo Mzee General George S. Patton....................................................................................................................................
Aksante. Ungeishia hapo, ndilo lilikuwa swali. Sikuomba dissertation kuhusu uongozi wa jenerali Patton.
Sasa, ukiona watu wanakubaliana kubaliana tu kwa vile wote wanajifanya kupigana na ufisadi, ujue kuna tatizo.
..kisa cha waziri wa Tanzania kusafiri 1st class wakati mabalozi wa nchi wafadhili wanasafiri economy nilikisoma kwa mara ya kwanza 1995 kwenye Rai, na ilikuwa makala ya Jenerali Ulimwengu.
..baada ya makala ya Jenerali Ulimwengu, Prof.Lipumba akaahidi kwamba tukimchagua kuwa Raisi atasafiri economy badala ya 1st class.
..huyo Mbwambo angetuletea habari mpya. we need more investigative articles kuhusu matumizi mabaya ya serikali kuliko hizo makala zao wanazoandika.
..sasa serikali ikija na jibu kwamba ticket zote za 1st class wanazipata at a discounted price ya economy class tutasema nini?
Nyamaza wewe huwezi kusema natakiwa kusema nini na nini sitakiwi kusema, kutoa dissertation ndiyo middle name yangu, sema kingine.
Kuna vijana wanaenda shule humu wana appreciate kama wewe hutaki acha kusoma.
Unatoa shule sio? Unajua hata Dr. Shayo ni Chancellor wa MICHUZI online university, na provost wakeMashaka.
Sasa kama wewe ndio Dr. Shayo wetu hapa Jamii Forums online university kumbuka maneno ya yule mwanasayansi wa Kijerumani aliyesema, atakae jifanya anajua kitu fulani ujue hajui. Kitu gani kile tena alisema?