Nimekua nikijiuliza hawa wanaowapa kura hawa ccm kama wana akili timimamu,coz watu wametuongoza kwa miaka 50 nchi imetapakaa umaskini mpaka kwenye kucha,mahospitali hakuna dawa wala madaktari wa kutosha,miundombinu hakuna,kila kitu hovyo nakuuliza wewe uliyewapa hawa kura umetupeleka wapi?
Nimekua nikijiuliza hawa wanaowapa kura hawa ccm kama wana akili timimamu,coz watu wametuongoza kwa miaka 50 nchi imetapakaa umaskini mpaka kwenye kucha,mahospitali hakuna dawa wala madaktari wa kutosha,miundombinu hakuna,kila kitu hovyo nakuuliza wewe uliyewapa hawa kura umetupeleka wapi?
Sasa hapa sijui nani ambaye hana akili timamu, kati ya wewe na wao walioipigia kura CCM. CCM imetawala miaka 33 toka 1977 na siyo 50 kama unashindwa simple math na wewe pia unahitaji medical attention. Ofcource dawa haziko mahopitalini ziko kwenye pharmacies... kama wewe na akili zako unaenda hospitalini na kuulizia dawa hata humu unatakiwa uwe banned... we never know what you gonna say next.
Until that day ambapo wapinzani watajua why watu wana vote CCM ndipo watapata ushindi wa kishindo. Karibu kila mtu ninayemjua anaipinga CCM sasa cha ajabu hizi kura zote zinatoka wapi? Kuna watu wengi sana wana vote for CCM ... na ujiulize ni kwa nini watu wengi hawapigi kura....
Kila aliyetoa kura kwa ccm hana akili timamu. Yes I say it!
Fikiri jana alinijia mtu anaomba sh. 50 thousand maana mwanae kafukuzwa shule kwa ajili ya karo tena ni shule hizi za boda boda sijui karo yote hiyo ya nini, ajabu amekuja akiwa amevalia kapelo imeandikwa chagua ccm na nilimwona kwenye shamla shamla za kusheherekea ushindi wa ccm.
Sikumwonea huruma kwani nilimpa short cut kwamba mlikataa elimu haiwezekani kutolewa bure kwa hiyo kalipe na ukishindwa, mwache mwanao achunge mbusi aiseeee. Hakunijibu bali alitoka kichwa chini. Mijitu hii haichelewi kusahau inapopata shida. Haina akili timamu.
nimekua nikijiuliza hawa wanaowapa kura hawa ccm kama wana akili timimamu,coz watu wametuongoza kwa miaka 50 nchi imetapakaa umaskini mpaka kwenye kucha,mahospitali hakuna dawa wala madaktari wa kutosha,miundombinu hakuna,kila kitu hovyo nakuuliza wewe uliyewapa hawa kura umetupeleka wapi?