Jifunze kuvutia wengi

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,487
Reaction score
1,465
Kila mtu siku zote hujiuliza lipi afanye, ili aweze kufikia walipo wale anaowachukulia kama mifano ya kuigwa(role models). Kila mtu hujiuliza siri ya mafanikio yao kupata walicho nacho, au tunachotaka kupata na malengo ya kufikia.

-kwanza zinakuja mali, heshima, raha na mengineyo

Kujua mengi, soma hizi The 48 laws of power:


Kumbuka, badhi ya kanuni hizi, zimedhamilia kuwavua utu wale wenye roho za kuwasaidia wenzao wenye uhitaji. Mengine, huwataka watu kuwa wanafiki.

Hisia ni kama maradhi, huambukizwa.

Usiogelee karibu na mtu anaezama.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…