Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 5, 2010 #21 m-bongotz said: Hakuna cha kushangaza hapo, inategemea alikopa lini na interest kwenye ile principal amount ime-accrue kiasi gani. Click to expand... Huyo jamaa anajitafutia umaarufu tu.....sasa hiyo si kesi ya madai? na JM amesimamishwa kazi? akisema atamlipa lakini atakapopata kipato si itakula kwa huyo jamaa!
m-bongotz said: Hakuna cha kushangaza hapo, inategemea alikopa lini na interest kwenye ile principal amount ime-accrue kiasi gani. Click to expand... Huyo jamaa anajitafutia umaarufu tu.....sasa hiyo si kesi ya madai? na JM amesimamishwa kazi? akisema atamlipa lakini atakapopata kipato si itakula kwa huyo jamaa!
mucadam Member Joined Oct 18, 2008 Posts 28 Reaction score 1 Mar 5, 2010 #22 Tulikuwa nae songea last week, yupo jamani. Its all about ajali kazini
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Joined Jul 30, 2007 Posts 1,408 Reaction score 163 Mar 5, 2010 #23 Emanuel Makofia said: YUPO kapandishwa kizimbani juzi anadaiwa alikopa gari akaahidi angemaliza deni kashindwa jamaa andai 15mil.nuksi bin nuksi.......lol! Click to expand... Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari.
Emanuel Makofia said: YUPO kapandishwa kizimbani juzi anadaiwa alikopa gari akaahidi angemaliza deni kashindwa jamaa andai 15mil.nuksi bin nuksi.......lol! Click to expand... Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari.
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,561 Reaction score 61,623 Mar 5, 2010 #24 CarthbertL said: Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari. Click to expand... Kumbe ndio maana alikuwa anasaka fedha za kulipa kwa udi na uvumba! Ikibidi kwa kutishia mtu kwa pingu!!! Makubwa!!
CarthbertL said: Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari. Click to expand... Kumbe ndio maana alikuwa anasaka fedha za kulipa kwa udi na uvumba! Ikibidi kwa kutishia mtu kwa pingu!!! Makubwa!!
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,526 Reaction score 21,276 Mar 5, 2010 #25 Mfamaji said: toka umeingia humu unaandika vitu havieleweki. Umetokea wapi? Click to expand... he he heee,great thinker kashtuka
Mfamaji said: toka umeingia humu unaandika vitu havieleweki. Umetokea wapi? Click to expand... he he heee,great thinker kashtuka
GM7 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 492 Reaction score 25 Mar 5, 2010 #26 CarthbertL said: Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari. Click to expand... Bwa ha ha ha ha ha ha ha. Nimeipenda sana avatar hii, teh teh teh teh, yaani kabla sijasoma post yako nimecheka kwanza.
CarthbertL said: Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari. Click to expand... Bwa ha ha ha ha ha ha ha. Nimeipenda sana avatar hii, teh teh teh teh, yaani kabla sijasoma post yako nimecheka kwanza.