...yaani hapa itakubidi tu ufungue account ya mtoto tumchangie.
Malaika wa mungu hana kosa huyo jamani nyie wazazi wa kileo.
5yrs old mama hamtaki, ndugu hawamtaki, baba mzazi hamtaki...
mnh!
Wacha kukimbia majukumu bro.
Sasa hapo ndio unatakiwa utumie uanaume wako, uanaume sio kuvaa suruali tu..Ina maana maiwaifu wako akikataa utakatelekeza hako kamalaika?Mimi niko tayari kumtunza mtoto lakini niko kwenye wakati mgumu ukizingatia maelewano yetu kabla na wife kukubali kumsapoti mtoto kwa mama yake na sio kubwagiwa na bibie kukimbilia Zambia.
Asante Mkuu tatizo sio uwezo,wife anadai bibie hamtaki mtoto kwa sababu ya ugonjwa,naye hayuko tayari kuchukua dhamana hiyo.Wife pia kasema yuko tayari kumtafutia kazi hapa hapa ili aendelee kumtunza mtoto wake na tumsaidie atakapokwama.Mama wa mtoto anadai kazi aliyopata Zambia ni ya hela nyingi na akifanikiwa atamfata mtoto jambo ambalo wife haliamini anasema akiondoka na kumuacha mtoto imetoka hiyo na hatutamuona tena.
Sasa hapo ndio unatakiwa utumie uanaume wako, uanaume sio kuvaa suruali tu..Ina maana maiwaifu wako akikataa utakatelekeza hako kamalaika?
Sio lazima ukae nae hapo kwako! Maana ukweli ni kwamba hata ukimleta hapo kwa mama wa kambo hatapendwa na unaweza mpoteza kabisa! Kama unakubali kuchukua jukumu la kutunza hata akiwa Zambia it doesnt matter. Cha msingi awe mahali you can reach her na apate huduma inayostahili.
U-sperm donor ni huko Ughaibuni, bongo you are a sole father muzee. Nazungumzia from moral point of view, kisheria sijui. Nachojaribu kuelewa hapa ni wewe kama unasubiri kuambiwa kutimiza wajibu wako, yaani unasubiri uambiwe kuchukua uamuzi. Uamuzi wa kuchukua upo mikononi mwako, u can't compromise maisha ya hicho kiumbe kwa sababu yeyote ile, kama wife hataki kuachiwa huyo mtoto amtunze tafuta slot yeyote iliyo wazi, kama upo na dada au akina bibi shangazi etc, wewe mwenyewe unajua utafanya vipi..ikishindiakana sana itabidi uforce kingi mbanane hapohapo na wife.Kaka ukirejea maelezo yangu pale juu nilikuwa 'sperm donor' tu na bibie na mumewe walinihakikishia sitahusika tena,sawa yametokea matatizo sawa namsifu wife kwa kunielewa nilipo mueleza na hata sasa anahusika kumpeleka mtoto hospitali na kukidhi mahitaji yao kwa kuwatembelea kila wiki.Uanamme gani unataka niutumie kwa mtu muelewa hivo?
U-sperm donor ni huko Ughaibuni, bongo you are a sole father muzee. Nazungumzia from moral point of view, kisheria sijui. Nachojaribu kuelewa hapa ni wewe kama unasubiri kuambiwa kutimiza wajibu wako, yaani unasubiri uambiwe kuchukua uamuzi. Uamuzi wa kuchukua upo mikononi mwako, u can't compromise maisha ya hicho kiumbe kwa sababu yeyote ile, kama wife hataki kuachiwa huyo mtoto amtunze tafuta slot yeyote iliyo wazi, kama upo na dada au akina bibi shangazi etc, wewe mwenyewe unajua utafanya vipi..ikishindiakana sana itabidi uforce kingi mbanane hapohapo na wife.
Ndugu yangu, mi nilidhani mtu wa kwanza wa kumuogopa alikuwa mkeo, kama amekuelewa sielewi kwa nini ndugu uwaogope.Ndugu zangu wanamjua huyu mama wa mtoto kwa sababu alikuwa GF wangu zamani na wanajua aliolewa na kuzaa mtoto sasa leo nitaanzaje kuwaeleza mimi ndio baba wa huyo mtoto? nitaanzaje kuwaambia nilimpa mimba huku mumewe akijua na kuafiki kwa mazingira yetu?
Binafsi dhamira ingenishtaki kwa kuwa huyo ni mtoto wangu. Sahau hayo mengine focus kwenye kuokoa maisha ya mtoto wako! There is no way you will be peace at yourself, na wala hakuna mtu mwenye akili timamu ata hoji kitendo chako wewe kuokoa maisha ya mtoto wako! Men go get her!
Ndugu yangu, mi nilidhani mtu wa kwanza wa kumuogopa alikuwa mkeo, kama amekuelewa sielewi kwa nini ndugu uwaogope.
hapo mwambie akiwaachia mtoto mwende kwa lawyer, mtoto mumchukue nyie moja kwa moja.
mke wako haonekani kuwa atamchukia huyo mtoto (si dhani kama kuna mtu anachukia mtoto wa ready made), tafuteni lawyer hakikisheni mtoto anakuwa wenu moja kwa moja.
ndio ......sasa tatizo kitu gani?
mama mtoto si yuko tayari kuthibitisha kuwa mtoto ni wako? na kuna dna tests ambazo zitathibitisha kuwa mtoto ni wako?
kama mama mtoto anataka kuwatupia mtoto na yeye ende zambia, basi mumu adopt kabisa kabisa na asiwe na uwezo wa kurudi na kudai mtoto wake.
Bro, naona unasitasita..tafuta namna ya kumsitiri huyo mtoto kwanza, huyo mamaye si mali kitu tena na ameshaonesha anabwaga manyanga..Kama Gaijin alivyokushauri wewe fanya taratibu za kisheria uangalie ustaarabu mwingine...hata kama wife wako hayupo tayari kwa sasa anaonesha ana roho nzuri basi angaza macho angalia kwene empty slot kokote umsitiri huyo mtoto..tatizo ulilipanda mwenyewe pengine kwa nia njema, lakini sasa huezi kumuadhibu huyo malaika tena. Cha msingi ni kufikiri kwa undani utamleaje huyo mtoto...kwa muda huu, halafu baadae wife anaweza kubadili mawazo taratibu pale utakapoonesha nia ya kumlea.Ubini wa mtoto hauna tatizo mimi na wife hatuoni sababu ya yeye kwenda Zambia kama tutamsaidia kupata kazi hapa na kumpa msaada wowote atakaohitaji amtunze mtoto wake ambaye ni mgonjwa na anahitaji kuwa karibu naye na anafahamu matatizo/mahitaji ya mtoto.Pia wife ana mimba ya miezi kadhaa anatapika tapika hawezi kuchukua jukumu hilo kwa sasa.