Taaluma inakuwaje mbali? umetumia mizania ipi? au gut feeling yako? Nadhani fanya utafiti halafu uje na kitu kamili. Personal feelings bila support haitakuwa na msingi mzuri wa kusimama. Mambo ya Simba kutotangazwa si issue kubwa kihivyo angalia mpangilio wa vipindi kwa ujumla na sio ku zero inn kwenye Simba tuuuuu!!! Hebu chukua ratiba ya wiki halafu chambua na linganisha!!
hawa wanakuja kuburudisha na kuhamasisha ngono na upuuuzi kwa vijana wetu wadogo.......kweli hawana jipya.Hebu ngoja tusubiri matapeli wa clouds tv yao itakuwaje...
Maana kwa sasa wanaturusha tu majoka
ITV
Wamekuwa ni wabaguzi wakionyesha kutowajali watazamaji wa vipindi vyao km hali ilivyo hivi sasa kwa mashabiki wa simba kunyimwa habari zinazoihusu timu yao
Nimekuwa mtzamaji mzuri sana wa vituo hivi vi2 vya TV, nimeshawishiwika kuwashirikisha wana JF kwa pamoja tuweze kuangalia mapungufu na mazuri ya vituo hivi ili kuweza kuwashauri waendelee kutuletea habari zilizokamilika.
ITV.
StarTV
- Taarifa yao ya habari inaboa, haitoi picha halisi ya matukio na hasa kwa upande wa taarifa za kimataifa huwa wanatoa vichwa vya habari pekee.
- Wamekuwa ni wabaguzi wakionyesha kutowajali watazamaji wa vipindi vyao km hali ilivyo hivi sasa kwa mashabiki wa simba kunyimwa habari zinazoihusu timu yao.
- Reporters huwa hawawezi kupiga stand up wakiwa sehemu ya tukio kitu ambacho ni muhimu sana ili kujenga imani kwa watazamaji kuwa anayeripoti alikuwepo sehemu ya tukio.
- Taaluma ya uandishi inaelekea kuwa mbali sana na waandishi wa kituo hiki.
Nawaachia wengine kuwasaidia hawa jamaa ili waweze kujirekebisha na kusonga mbele.
- Taarifa yao ya habari kidogo inavutia kwani huwa wanajaribu kuingia kwa undani zaidi na hata habari za kimataifa kuna mtu anaitwa Samadu Hasani huwa anaripoti vizuri sana.
- Pamoja na kuhusika na tukio la kuzuiwa kupiga picha na kurusha mechi za ligi ya Voda laivu, wameendelea kurusha habari za Simba bila kinyongo.
- Bado pia kuna udhaifu wa reporters kupiga stend up kwenye matuikio
- Taaluma inaonekana lakini sio sana.
Hebu ngoja tusubiri matapeli wa clouds tv yao itakuwaje...
Maana kwa sasa wanaturusha tu majoka
Albert Nitwa ni mtangazaji gwiji, alianzia RTD akaenda BBC.Aisee umewapatia kweli hawa. Mtangazaji wa taarifa ya habari wa ITV anajiita ALBERT NYITWA anachapia Kiswahili kwa kwenda mbele. Kupanda mazao shambani anasema KUPANDIKIZA, Kuharakisha anasema KUHAIRISHA, na maneno kibao kila siku na sijamsikia hata siku moja akisema "samahani, nitarudia hapo" kama wenzake wafanyavyo. Yaani yeye sijui ni kabila gani lugha ya Kiswahili inagongana saaaana!
inaweza kuwa hivyo, maana ni Kituo cha muda mrefu, ni sawa na handset miaka ya tisini ziliitwa mobitel, dawa ya kupolishi viatu iliitwa Kiwi, kalamu ya wino iliitwa Biki, hizo ni brand ambazo watumiaji walidhani ni name of products.....hivyo kwa kadri siku zinavyoenda ITV inaonekan ni kituo cha hovyohovyo kuliganisha na vingine vyoote nnchi hii.acheni hayo majungu yasiyo na mbele wala nyuma,,,,,what,s simba anyway....mbona hukuchambua tbc1 na ch10......kumbuka itv ni umbeatable,ukienda kule vijijini mpaka seti ya tv huwa inaitwa itv
tchao
Nguvumali Big up kaka yaani waambie watu kwani si ndio ukweli kalamu biki ha ha ha na tv itv si ndio aliingia bara watu wakadhani ni tv ni itv ha ha ha lakini yote tisa kumi ni kweli staa ni ugali kwa bata hatudiskass stesheni zaidi ya ITV na Star Tv shauri la TBC na Channel teni au Tumaini au Mlimani achana nalo tunadiskas wawili nani kaenda shule katika hili.inaweza kuwa hivyo, maana ni Kituo cha muda mrefu, ni sawa na handset miaka ya tisini ziliitwa mobitel, dawa ya kupolishi viatu iliitwa Kiwi, kalamu ya wino iliitwa Biki, hizo ni brand ambazo watumiaji walidhani ni name of products.....hivyo kwa kadri siku zinavyoenda ITV inaonekan ni kituo cha hovyohovyo kuliganisha na vingine vyoote nnchi hii.
wasipokua makini miaka si mingi watu watahamishia mawazo na fikra zao TBC.