Hahhaaaaa,mie nilidhani ni wanawake tu,kumbe hata wanaume hawapendani.
lakini wanasema like poles repel & unlike poles attract each other
hayo ni maradhi fulani ambayo wanakuwa nayo wengi wa wanaume. wakikutana na wanawake na kulegezewa sauti basi utawakuta wanasahau majukumu yao na uadilifu wa kikazi. ulipaswa kumfuata na kumueleza kwamba alivyofanya sio vizuri.wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na bonge la foleni kama mbagala,niaamua kuingia ndani ili nisaidiwe kule ndani nikamfuata kijana mmoja wa lika langu ili anisaidie aka nitosa, nikarudi kwenye que yangu na baada ya muda akaja dada mmoja hivi masharaa akaona foleni ndefu akaamua kwenda ndani kutest zali mungu mkubwa akaenda kwa jamaa aliyenitosa mm na kusaidiwa na yuleyule mshikaji aliyenitosa mm,sasa wandungu tuasaidiane hiv kwa nini sisi wanaume hatujaliani wenyewe.
wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na bonge la foleni kama mbagala,niaamua kuingia ndani ili nisaidiwe kule ndani nikamfuata kijana mmoja wa lika langu ili anisaidie aka nitosa, nikarudi kwenye que yangu na baada ya muda akaja dada mmoja hivi masharaa akaona foleni ndefu akaamua kwenda ndani kutest zali mungu mkubwa akaenda kwa jamaa aliyenitosa mm na kusaidiwa na yuleyule mshikaji aliyenitosa mm,sasa wandungu tuasaidiane hiv kwa nini sisi wanaume hatujaliani wenyewe.
Pole mkuu, kwanza usilaumu kwmb hukusaidiwa, inawezekana jamaa aliangalia uzito wa suala lako akaona ni mdogo, mwenzio kaeleza shida nzito akasaidiwa, hata hv ni kweli like poles haziwezi kuvutana hata siku moja! pamoja na hayo si vizuri mwanaume kutegemea sana misaada, fuata taratibu timiza shida yako, ndy maana ukakuta foleni nje, waliopanga ni binadamu kama ww wana haraka pia, SIPENDI SANA WATU WANAOPENDA SHORTCUTS!!!!!!!!!!!!! I HATE THIS.....!!!! kama uliona huyo cc alikunyima haki yako....akampa mweingine, ungeenda kwa bosi wake direct ukamueleza!