MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
...Ni vitu gani tusivyopaswa kuviuliza (kutaka kuvijua) toka kwa wenzi wetu?
Maswali sina shida mimi sio mtu wa kukosa majibu!! But personally fights na mchumba ni kwamba si saidii kufua , kupika wala kuosha viombo. You would think a faithful guy commited to the relationship for jus over 2yrs, paying the rent, covering all other bills bado waifu to be anakununia kisa humsaidi kupika na kuosha viombo instead u jus watch tv . Been dating all kinds of women (white, asian, mixed u name it) lakini wa kitanzania ndo anaumiza kichwa na vitu vinavyomchosha yeye ndo nimeeleza hapo juu. I dont mean to generalise tanzanian women but thats my story.
😀 ...ndugu yangu Kapinga, kwa niaba ya huyo shemeji yetu naomba kukuuliza swali la nyongeza;
"Kwanini hutaki kumsaidia kufua, kupika, wala kuosha vyombo?"
Aksante Mkulima hata mie nilikuwa nawaza vivyo hivyo but inakuwaje mfano kuna mwingine akiwa anatoka kazini huwa anatoa notebuk na kuanza kuandika possible answers ya maswali atakayoulizwa na bado anaweza akakosa majibu ya maswali mengine kwa vile anaweza akawa hakutegemea kama ataulizwa, yaani mwenzi wake huwa anauliza just about everything. Ila cha kushangaza huyo mwenza unawezakuta hapendi kabisa kuulizwa yaani hata akisema aje asubuhi yake usimuulize ama sivyo unatafuta ugomviMtu unaweza kuuliza swali lolote like kama utakuwa unaamini kuwa jibu utakalopewa halita ku-disturb
😀 ...ndugu yangu Kapinga, kwa niaba ya huyo shemeji yetu naomba kukuuliza swali la nyongeza;
"Kwanini hutaki kumsaidia kufua, kupika, wala kuosha vyombo?"
Maswali sina shida nayo ,mimi sio mtu wa kukosa majibu!! But personally fights na mchumba ni kwamba si saidii kufua , kupika wala kuosha viombo. You would think a faithful guy commited to the relationship for jus over 2yrs, paying the rent, covering all other bills bado waifu to be anakununia kisa humsaidi kupika na kuosha viombo instead u jus watch tv . Been dating all kinds of women (white, asian, mixed u name it) lakini wa kitanzania ndo anaumiza kichwa na vitu vinavyomchosha yeye ndo nimeeleza hapo juu. I dont mean to generalise tanzanian women but thats my story.
Aksante Mkulima hata mie nilikuwa nawaza vivyo hivyo but inakuwaje mfano kuna mwingine akiwa anatoka kazini huwa anatoa notebuk na kuanza kuandika possible answers ya maswali atakayoulizwa na bado anaweza akakosa majibu ya maswali mengine kwa vile anaweza akawa hakutegemea kama ataulizwa, yaani mwenzi wake huwa anauliza just about everything. Ila cha kushangaza huyo mwenza unawezakuta hapendi kabisa kuulizwa yaani hata akisema aje asubuhi yake usimuulize ama sivyo unatafuta ugomvi
Sasa ni mambo gani wewe kama mke/mume unapaswa kuuliza mwenzi wako?
Kina kaka ni vitu gani huwa hampendi muulizwe na vipi mnaona sawa kuulizwa? Kina dada je?
Oyaah nimekusoma....ingawa niliishawahi ambiwa na mdada eti sisi wanaume ni animals with a dick, which we can interchangeably use for making love and thinking.....nilichoka....(Not my Bellies)Wanawake viumbe vya ajabu..we still love them though
Mh!!
Haya apart from hayo kuna lolote ambalo wewe kama wewe kapinga unahisi halimuhusu wifi (mkeo) mfano marafiki unaokutana nao, maeneo unayopita ukitoka kazini au ukirudi umechelewa akuulize ulikuwa wapi, unafanya nini?
Dude its like u opened a page in my relationship..muulize swali yeye utasikia 'i dont need this mara simu zinakatwa mara u stress me' wanawake viumbe vya ajabu..we still love them though.
Oyaah nimekusoma....ingawa niliishawahi ambiwa na mdada eti sisi wanaume ni animals with a dick, which we can interchangeably for making love and thinking.....nilichoka....
inakuwaje mfano kuna mwingine akiwa anatoka kazini huwa anatoa notebuk na kuanza kuandika possible answers ya maswali atakayoulizwa na bado anaweza akakosa majibu ya maswali mengine
and that is the nost important part.
I am telling you u r not alone in the boat.
kuna wale ambao wao wanapenda kujua each and just everything wakifanyacho wenzi wao but wao hawakotayari kushare na once ukisema umuulize ndio utakutana na majibu ya ajabu kama ' I dont need this; well you dont have to know, dont worry its nothing au hata its none of your business au ah haya mambo ya wanaume/wanawake!! na kiukweli inauma unapopewa jibu la aina hii sasa ili kupunguza uwezekano wa kuumizwa ni bora tukajua kipi tunapaswa kuuliza bile kuua ego ya mwenzako na kipi hupaswi.
He he..unataka watu wamseme kuwa amekaliwa na mkewe au amepigwa kipapai...
Wapo wanaume wanaosaidiana na wake zao vizuri ila wengine wakiona,aaah jamaa kwisha kazi hadi vyombo anaosha!LOL
Kama wanandoa kuulizana na kujibu maswali ni muhimu japo jinsi ya kupresent maswali na majibu yake inabidi iwe ya kistaarabu.
...simlaumu Kapinga na huo u-Alpha Male kwa wanawake wetu wa kibantu, maana hachelewi kukutamkia hadharani, ..."leo umepika vyombo umemuachia nani avikoshe? na jikoni ukadeki...(+msonyo!)"
MJ1,
1.Is this something you have seen, heard au unafikiria? Ikifikia hapo basi nadhani ni mwisho!
Hiyo ni relationship ya namna gani?
2. Kwanini aanze kutafuta majibu? ni kwamba anadanganya au inakuwaje maana kuna msemo kuwa " if u tell the truth you dont have to remember anything" much less kuandaa majibu kabisa kwenye notebuk.
3. Wakati anapoulizwa, je anaruhusiwa kufanya rejea kwenye notebuk? LOL!