TreasureFred
Member
- Feb 25, 2008
- 64
- 3
Wana Jf
Nimesukumwa kuandika post hii baada ya kupata tetesi kuwa mwenyekiti anaenda Tabora kutowa msaada wakati mpaka leo hii hatuja pokea mishahara yetu.
Mwezi ulopita tumepokea tar 8,juzi imetumwa email na idara ya uhasibu kuwa ttusitegemee mishahara soon hili ni jambo la kuikitisha.
Najua pos hii itaondolewa lakini umefika wakati kujiuliza hii ni haki?
amekuwa mstari wa mbele kututaka kuwa wavumilivu,umeanzishwa mtindo kuwa pesa za Matangazo mwenyekiti anazichukua zote kufanyia siasa sisi anataka kampuni ijiendeshe kwa pesa za kuuza magazeti wakati kurasa moja ya NIPASHE ama GUARDIAN thamani yake ni magazeti 3000,tunatafuta matangazo pesa anazichukua matokeo yake tunalipwa tarehe 8 or 15 ya mwezi mwingine hii inavunja moyo na kuumiza.
naomba kuwasilisha
hayo ni majungu tu, soko la ajira liko wazi kwanini usiache kazi kama IPP hailipi, nenda New Habari au kule channel ten ukale kuku kama wenzio.Wana Jf
Nimesukumwa kuandika post hii baada ya kupata tetesi kuwa mwenyekiti anaenda Tabora kutowa msaada wakati mpaka leo hii hatuja pokea mishahara yetu.
Mwezi ulopita tumepokea tar 8,juzi imetumwa email na idara ya uhasibu kuwa ttusitegemee mishahara soon hili ni jambo la kuikitisha.
Najua pos hii itaondolewa lakini umefika wakati kujiuliza hii ni haki?
amekuwa mstari wa mbele kututaka kuwa wavumilivu,umeanzishwa mtindo kuwa pesa za Matangazo mwenyekiti anazichukua zote kufanyia siasa sisi anataka kampuni ijiendeshe kwa pesa za kuuza magazeti wakati kurasa moja ya NIPASHE ama GUARDIAN thamani yake ni magazeti 3000,tunatafuta matangazo pesa anazichukua matokeo yake tunalipwa tarehe 8 or 15 ya mwezi mwingine hii inavunja moyo na kuumiza.
naomba kuwasilisha
Duu Kali hiyo Dictatorship ya manyangumi ni kaliwe hujasoma ndo maana hujapata mshahara.kazi haiko ipp peke yake ziko sehemu nyingi kama una qualification zako nzuri achia ngazi.au umetumwa na mafisadi papa?
SIO TU KIPINDI HIKI, HII NI TAASISI HURU....mmoja anatoka kumi wanaingia, IPP ILIKUA NA KINA Misanya Bingi, Charles Hilary, Mikidadi mahamudu, suzan Mungi, Flora Nducha.....wote hao walikua nyota na wakaondoka, hakuna chaajabu , ni majungu tu.nilidhani mtu akiomba msaada si lazima asaidiwe. Nawashauri wale ambao hamna point za kumsaidia huyu asiseme kitu. Amepoost hii kuufahamisha umma kuwa kunafuka moshi. Ni ukweli kwamba ktk kipindi kifupi wengi wameacha kazi IPP. Ni vema habari hizi ziwe wazi
sasa mzee Mengi ndio afisa uajili wao.
Mengi ni mwenyekiti na anamajukumu mazito.
Hakuna Moshi unaofuka IPP-media........ushauri wangu ni kua Aacj=hae kazi aende mahali ambako hakuna matatizo, mbona Amina Mollel yuko TBC TAYARI, KAMA huridhiki kimbia ,usigeuke nyuma.