M mlowe New Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3 Reaction score 0 Dec 11, 2010 #1 Hodi wanajamii wote naomba mnipokee. Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi. Hongereni
Hodi wanajamii wote naomba mnipokee. Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi. Hongereni
fige JF-Expert Member Joined Jul 4, 2010 Posts 375 Reaction score 61 Dec 11, 2010 #2 karibu sana ni vema ukasoma maelekezo ya matumizi ya jamvi hili ili uweze kulitimia ipasavyo.
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,434 Dec 11, 2010 #3 Welcome