THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,887
- 15,291
Na haitoki kweli watu wa mtwara na kusini yote mkafie hapo kwenye gesi unajua hao huwa ni wanafiki,wana maneno matamu mdomoni ila matendo hamna..yeye lowasa pia amechangia kwa sehemu kubwa kuifikisha nchi hapa ilipo kiuchumi,watanzania tulio wengi ni mafukara wa kutupwa wakati wao wanamiliki pesa kibao.Tena wanafaidisha watu wengine kwenye nchi ambamo pesa hizo amezihifadhi kwenye mabenki yao.Kifupi nae ni kilaza mkubwa hana lolote na hongera wazee wa mtwara kwa kumpa makavu live...MUNGU ibariki mtwara MUNGU wabariki watu wa kusini na uendele kuwapa moyo wa kijasiri..AMEN.
pepoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
haitoki kweli...
Mkuu nadhani ulimaanisha 2005!Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo bagamoyo,je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?
...
Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazish ya kifo cha marehem Major General Rashid Makame huko tandahimba...
lowasa kabla na baada ya kwenda mazikoni alipitia manispaa wa mtwara mikindani na kufanya kikao cha usiri wa hali ya juu na kuwaasa wazee hao kushikilia uzi wao,na kwamba yeye akiingia madarakan atahakikisha kwa kupitia gesi hiyo anaibadilsha mtwara na kuipeleka katika level nyingine kusini yote kwa ujmla...
wazee hao walimpinga wazi wazi na kumkaripia ya kwamba wao kuhusu suala hilo hawahitaji Backup ya mtu yoyote yule..!
Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo bagamoyo,je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?
Wakazid kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine,lakin si suala la gesi,wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao,wanasubiri muda tuh serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...
Lowasa ikambid apanguse vumbi na kuondoka zake...
Kadir siku zinavozid kwenda ndivo mapya yanavozid kuchomoza,lakin mwshowe itafahamika tuh...
Haitoki kweli...
Kwani wewe mwenzetu gesi ya Mtwara unataka itumike vipi? maana umen'gan'gana sana gesi isitoke mtwara. Ebu tuelimishe na wengine tuelewe sababu za ubishi wako, so far the government has come up with the economic argument za sababu kupeleka gesi bagamoyo ni kwa ajili ya umeme tu.Wakazid kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine,lakin si suala la gesi,wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao,wanasubiri muda tuh serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...
Kwani wewe mwenzetu gesi ya Mtwara unataka itumike vipi? maana umen'gan'gana sana gesi isitoke mtwara. Ebu tuelimishe na wengine tuelewe sababu za ubishi wako, so far the government has come up with the economic argument za sababu kupeleka gesi bagamoyo ni kwa ajili ya umeme tu.
Gesi ambayo itakuwa ya kuuzwa nje kila kitu kitatokea Mtwara and other investments will follow including a port and other business investment. Tunavyofahamu wengine gesi aiendi bagamoyo bali inaenda zalisha umeme na location was based on the cheapest option bearing in mind what it takes to run that sort of business.
Sasa na wewe embu tuelezee unachotaka ni nini? gesi ibaki huko huko ardhini au kwanini kiwanda cha umeme pia kijenge Mtwara just present your argument based on facts and government numbers hili tuelewe zaidi, kuliko kupiga makelele na kulazimisha fujo kisa gesi wakati hutoi argument zenye faida ya utaifa gesi kubakia Mtwara.
mbona tuliambiwa kwamba wezee na wananchi wote wa mtwara wamekubali gesi ipelekwe dar?Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa Mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazishi ya kifo cha marehem Major General Rashid Makame huko Tandahimba...
Lowasa kabla na baada ya kwenda mazikoni alipitia manispaa wa Mtwara Mikindani na kufanya kikao cha usiri wa hali ya juu na kuwaasa wazee hao kushikilia uzi wao, na kwamba yeye akiingia madarakan atahakikisha kwa kupitia gesi hiyo anaibadilsha Mtwara na kuipeleka katika level nyingine kusini yote kwa ujmla...
wazee hao walimpinga wazi wazi na kumkaripia ya kwamba wao kuhusu suala hilo hawahitaji Backup ya mtu yoyote yule..!
Wakamwambia yeye na swahiba wake Jk ndio walitoa ahadi nyingi kwenye kampeni za mwaka 2015 lakin leo hii mwenzake kageuka na kushupalia kuipeleka gesi hiyo Bagamoyo, je watamuamin vipi yeye kama hilo analolisema anamaanisha?
Wakazidi kumwambia kuwa kama yeye anautaka Urais basi aombe na awaombe kuungwa mkono kwa hoja zingine, lakini si suala la gesi, wao gesi washajitoa muhanga wa hali na nafsi zao, wanasubiri muda hule serikali itapoanza pilika pilika zake na wao waanzishe za kwao...
Lowasa ikambidi apanguse vumbi na kuondoka zake...
Kadiri siku zinavozidi kwenda ndivo mapya yanavozidi kuchomoza, lakini mwshowe itafahamika tuu.
Haitoki kweli...
Kwani wewe mwenzetu gesi ya Mtwara unataka itumike vipi? maana umen'gan'gana sana gesi isitoke mtwara. Ebu tuelimishe na wengine tuelewe sababu za ubishi wako, so far the government has come up with the economic argument za sababu kupeleka gesi bagamoyo ni kwa ajili ya umeme tu.
Gesi ambayo itakuwa ya kuuzwa nje kila kitu kitatokea Mtwara and other investments will follow including a port and other business investment. Tunavyofahamu wengine gesi aiendi bagamoyo bali inaenda zalisha umeme na location was based on the cheapest option bearing in mind what it takes to run that sort of business.
Sasa na wewe embu tuelezee unachotaka ni nini? gesi ibaki huko huko ardhini au kwanini kiwanda cha umeme pia kijenge Mtwara just present your argument based on facts and government numbers hili tuelewe zaidi, kuliko kupiga makelele na kulazimisha fujo kisa gesi wakati hutoi argument zenye faida ya utaifa gesi kubakia Mtwara.
Mkuu THE BIG SHOW mkilegeza tu basi mjue vizazi na vizazi vitabaki katika hali ya umasikini wa kutupwa mpaka mwisho wa dunia!Mungu kawapa kila kitu mshindwe wenyewe tu kutumia. Komaeni mkuu, kunyanyuka kiuchumi Mkoa wa Mtwara na Lindi ni kunyanyuka kiuchumi kwa Tanzania maana hamjakataza mtu kwenda kufanyakazi mtwara akitaka.
Nipo pamoja na nyie wakuu.
Hizo ni chuki na woga,Lowassa sasa hivi hufuatwa, alikutana na wazee waliyomfuata na Kama Kawaida yake aliwasikiliza na kuondoka.Huo ni uongo,huyu ndiyo mzee wa maamuzi magumu