I was Pastor, That's why I know...!?
It will be funnier when being escorted to paradise ( S19:71) doesn't it? .. you know exactly what I don't mean..do you?
Wabillah tawfeeq.
I was Pastor, That's why I know...!?
I was Pastor, That's why I know...!?
Ah ah ah...! Mtindio, unajuwa nachelea kulifanya jukwaa la Utani kuwa jukwaa la mambo mengine...! Anyway nimisoma hiyo aya...! lol Ni tamu sana na haswa ukianzia juu kidogo...! Matt 7:21-23
Anyway pole kwa kujaribu mtihani wa kutamka yale maneno pale juu...!
Hope hayajakupa tabu kuyatamka
Duh! Kaaazii kweli kweli...!
Q5:59
I was Pastor, That's why I know...!?
Inaonekana Mt 7:21-23 inakuchanganya ku-verify you were never a pastor whatsoever. Nenda hapa upate tiba: "Ask the Pastor" - Please explain Matthew 7:21-23.
Ah ah ah...! Nimesema mwanzo kuwa "Maumivu ya KICHWA uhanza pole pole....! Kisha Uenea Mwili Mzima...!
Haya tutafika tu...! Yaani mpaka kwenye jukwaa la utani watu wanaleta udini. Anyway hope u do understand Q5:59, 5. SURAT AL MAIDA
Kaazi kweli kweeeeli!
teh teh teh...
Pastor mlevi..Kumbe huwa unaingiaga MEEDA..aah samahani kumbe ni jina la nanihii ..sorry!
hee yamekuwa hayo? nways yote ni yako, ulevi ni ugonjwa..uwe wa pombe au mwingine, wote huharibu akili to the minimal..
Cheers..!
As i said before Maumivu ya kichwa yanapoanza usambaa mwili mzima. (If u do understand...)
Sasa mimi na wewe nani anaonyesha ulevi?
Hata kile nilichokiandika unashindwa kukisoma vema.
Pole.
Hah hah haha..
Kuna thread ingine hii..tupe maoni yako maana umethema menyewe unaka-experience ka kutosha kwenye ile fani ya kugida ulabu, eti kwa kuwa ulikuwa 'path-ta' ... teh tehe
Tujage hapa: https://www.jamiiforums.com/habari-...90-ya-walevi-wa-kupindukiwa-wamelawitiwa.html
Nicheke mie kwa sauti ...
teh teh teh halloooo..
Maeda meeda maida ...%^%$#% kumbe?
M'Mungu akusamehe na kukuongoza...!