Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.

Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.Inasikitisha sana, sasa mkikutana jioni kila mmoja katoka kumega/kumegwa nje mnakaa mezani mnaongea au ?
Ni mume wa mtu naye, na wife wake alimdakaga anamegwa nje. Kwa hiyo naye alikuwa kwenye process za kutafuta wa kumega ndo akanipata mimi.Shemeji bonge la mchemsho. Huwezi kubalance kwa kufanya ulivyoamua. Kama hataki kuachana na huyo mke mwenzio,fanya hivi,mwombee kwa Mungu kama una imani,au chomoka fasta,Tunaishi mara moja.
Huyo Boyfriend wako amekwambia hana girlfriend mwingine? Cheating cheating cheating mpaka siku ya kiama.
Maisha ya ndoa ni matamu kama huna wasiwasi na mwenzio,kinyume chake ni utumwa tu.
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
Ni mume wa mtu naye, na wife wake alimdakaga anamegwa nje. Kwa hiyo naye alikuwa kwenye process za kutafuta wa kumega ndo akanipata mimi.

Tunaongea tena sana, na akanza ku apply viufundi vyake baada ya kuona sijamind sana na mambo yake. In short he shows responsibility more than before. Ila imani sina naye tena namkodolea mimacho kama kobe tuu.Mimi nimeuliza kama huwa mnaongea,sijasema presha au kutulia,narudia huwa mnachati kama vile hakuna noma?
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
Tunaongea tena sana, na akanza ku apply viufundi vyake baada ya kuona sijamind sana na mambo yake. In short he shows responsibility more than before. Ila imani sina naye tena namkodolea mimacho kama kobe tuu.
Sio pendekezo langu, nimisukumo ya hapa na pale. Life is short everyone needs to enjoy it.Imenikumbusha jamaa yangu alikuwa anakwenda msituni kukata kuni,mara gogo likaanguka mbele yake,basi jamaa akabeba na kurudi home kilaini kabisa.
Kamwaga ugali na wewe umemwaga mboga,shemeji nimekupata na kwa jinsi ulivyo wazi bila shaka umeamua kikweli kweli.