vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Pole Vkeissy kwa yanayokusibu ila tatizo haswa ni nini???
i hope.....1day...... Ntapata mwanaume atakayenithamini na kunijali......
yani simuelewi jamani kama ananipenda au vipi nkimuliza kama anihitaji hasemi kama ananipenda hasemi mimi napenda mwanaume ananiambie ananipenda anipigie simu at least once per day jamani...lakini sio huyu yani ananiudhi nshamwambie sana lakini haelewi...yani he is not caring,hana romance....yani hana ukimwambia i lov u anajibu haya..au poa baadaye...yani hiyo mi inaniboa.....
Hivi haki ya nani huna kwa nn unanyanyaswa hivyo jamani?
yani simuelewi jamani kama ananipenda au vipi nkimuliza kama anihitaji hasemi kama ananipenda hasemi mimi napenda mwanaume ananiambie ananipenda anipigie simu at least once per day jamani...lakini sio huyu yani ananiudhi nshamwambie sana lakini haelewi...yani he is not caring,hana romance....yani hana ukimwambia i lov u anajibu haya..au poa baadaye...yani hiyo mi inaniboa.....
hahahah Fidel80 na wewe mbona huna??
.......i hopehicho kipande kimenivunja mbavu, cpati pic kabisa..".i luv u swity"".... unajibiwa" haya"...mapenzi yana mambo...pole mrembo, raha ya mapenzi upate akupendae, kama walivyosema wengine, unaweza kukuta jamaa anakupenda sema ndio wale wanatumia uanaume zaidi,naamini kila mtu ana wake wa dhati, vuta subira mrembo yupo wako mahali.....
I think this is one of the signs that he is not that into u...
.......i hope
HEHEHEHE!nimeipenda hiyo.............na hapo unaweza kuta ana wa pembeni hizo i luv u na makororokoro yote anaambiwa , akija huku hata mahabuba hatamki, mapenzi yangeondolewaga duniani bwana.