Haya ndio mambo ya mtandao/blogs picha inaweza kuwa hata ya kuzusha ili tu kumpakazia mtu au Rais . Chadema wanalipiza kisasi kwa kutumia picha za kubuni wakati Josephine alionyeshwa hadharani pale Jangwani. Kikwete anasakamwa kwa nini wakati mlalamikaji katika shauri la Dk.Slaa ni Aminiel Mahimbo?
Wewe Mwanajamii a.k.a Mwanaufisadi, Mahimbo anatumika tu. CCM ni wachafu sana hata wasingestahili kuleta mchezo wa kuchafuanas; maana wao huna haja ya kuwachafua ila ni kuwa mulika tochi tu watu waone uchafu ulivyokolea.
Jamaa keshaenda mahakamani na kuanzia sasa wakati wowote ule Slaa ataitwa mahakamani nasikia ameshapelekewa mualiko ,hayo makelele yenu ni makelele ya mlango ,hivi mlianza leo au jana kulipuwa hayo mnayoyaita mabomu na mmefikia wapi ,zaidi ya kubebembelzwa kama watoto wadogo aafu mnakaa kimya na kutulia.
Hivi ni lini Chadema iliattack uongozi wa CCM ukilinganisha na CUF ambayo imewahi kuwaita viongozi waliopo ndani ya utawala kwa majina ya kudhalilisha ,CUF imewahi kumwita kiongozi Mkuu wa CCM mpumbavu ,mjinga na zaidi kusema CCM ni wapumbavu wakubwa ,hili halijawahi kusikika ndani ya Chadema ,hizo ni kauli ya Chama chochote kinachojiamini ambacho viongozi wake wapo tayari kwa lolote lile.Utaona kama ni matusi lakini sio ni kujiamini kwa viongozi ,viongozi wanaojiamini hufikia hatua ambayo wanaweza kuwachamba viongozi walioko madarakani kisiasa na hakuna atakaechukuliwa sheria.
Chadema siasa hamziwezi ,kulipua mabomu sio siasa bali ni kujihangaisha na mwisho wa kuhangaika hakuna mnalolipata ,kama tuonavyo.
Josephine kapeleka wapi watoto aliozaa na Mahimbo? Hatuwezi kujua pengine sio watoto wa Mahimbo mpaka DNA itoe majibu. Kama mama yuko salama hadi tukaonyeshwa hadharani ni vema tukajua pia hali ya watoto na wanatunzwa na nani. Pia warudishwe kwa baba yao badala ya kukaa na baba wa kambo, Dk. Slaa. Ni haki ya Mahimbo kwa kuwa ndio baba wa kibailogia japo hatuna uhakika kwa hilo hadi hivi sasa.
Sunday, 5 September 2010
Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini?
View attachment 13445
Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa rais wao aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete kuanzia Makongo Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Sinza Kijiweni hadi nje ya nchi.
Ingawa CCM wanaona kama wamegundua silaha ya nyuklia ya kummaliza Dk Wilibrod Slaa kwa sababu aliachana na mama aliyezaa naye, jambo ambalo hafichi, wajue mtu wao, katika hili la ndoa, hana salama.
Tutaanza kuwaletea nyumba zake ndogo na baadaye tutaleta hata vyangudoa wa mitaani ambao amewahi kuparamia.
Tukimaliza hili, tutakuja na mgogoro wa kuanguka ambao ni ushahidi tosha kuwa afya yake ni ugogoro mtupu ingawa yeye na waramba viatu wake wanaficha.
Tuanze na hawara yake Kikwete anayejiweka weka kwenye udhamini wa mambo fulani fulani huku akimuigiza Salma Kikwete kumpigia kampeni mtu wake.
Hata Salma hatanusurika. Waliofundisha naye wako na wana data zake zote hata na alivyokutana na JK kwenye mazingira ya kutia kila shaka. Hapa bado hatujaenda kwao umakondeni na kuja na data nyingine nyingi tu. Hapa bado hatujagusia vimada waliojazwa kwenye ukuu wa wilaya na sehemu nyingine nyeti serikalini. Hapa bado hatujakuletea aliozaa nao na wanaharamu wake. Hapa bado hatujavinjari kila kona inayojulikana. Na CCM wajue. Tunapata data zake sawa na tulivyopata za EPA-wanaomjua wengi wako tayari kujitolea kuanika uchafu wake.
Hapa hatujagusa biashara zake na mambo mengine machafu kuliko hata hayo.
Inzi ana hekima moja kuu. Anasema. Ukijua huu naujua ule.
Posted by NN Mhango at 13:49
.Nyie waramba viatu vya KIKWETE wacheni kupiga kelele, mchezo mloanzisha utawarudi nyie wenyewe, huyo mtu wenu sasa hivi yuko uchi, kwa data tulizo nazo tukizimwaga na hali ya kiafya ya JK, tutamaliza mchezo hata kabla ya October 31, anayebisha asubiri aone.
.Nafurahia sana wana ccm kuwa ndumila kuwili........embu icheck post yako jinsi unavyomshabiakia Dr. Wilbroad Slaa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/62779-pesa-wanazolipwa-wabunge-ni-rushwa.html
.Sunday, 5 September 2010
Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini?
View attachment 13445
Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa rais wao aliyemali muda wake Jakaya Kikwete ni Toboatoboa au tuseme Chovyachovya kuanzia Makongo Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Sinza Kijiweni hadi nje ya nchi.
Ingawa CCM wanaona kama wamegundua silaha ya nyuklia ya kummaliza Dk Wilibrod Slaa kwa sababu aliachana na mama aliyezaa naye, jambo ambalo hafichi, wajue mtu wao, katika hili la ndoa, hana salama.
Tutaanza kuwaletea nyumba zake ndogo na baadaye tutaleta hata vyangudoa wa mitaani ambao amewahi kuparamia.
Tukimaliza hili, tutakuja na mgogoro wa kuanguka ambao ni ushahidi tosha kuwa afya yake ni ugogoro mtupu ingawa yeye na waramba viatu wake wanaficha.
Tuanze na hawara yake Kikwete anayejiweka weka kwenye udhamini wa mambo fulani fulani huku akimuigiza Salma Kikwete kumpigia kampeni mtu wake.
Hata Salma hatanusurika. Waliofundisha naye wako na wana data zake zote hata na alivyokutana na JK kwenye mazingira ya kutia kila shaka. Hapa bado hatujaenda kwao umakondeni na kuja na data nyingine nyingi tu. Hapa bado hatujagusia vimada waliojazwa kwenye ukuu wa wilaya na sehemu nyingine nyeti serikalini. Hapa bado hatujakuletea aliozaa nao na wanaharamu wake. Hapa bado hatujavinjari kila kona inayojulikana. Na CCM wajue. Tunapata data zake sawa na tulivyopata za EPA-wanaomjua wengi wako tayari kujitolea kuanika uchafu wake.
Hapa hatujagusa biashara zake na mambo mengine machafu kuliko hata hayo.
Inzi ana hekima moja kuu. Anasema. Ukijua huu naujua ule.
Posted by NN Mhango at 13:49
.
mwaga ugali na wengine watamwaga mboga hakuna atakayepata ushindi. Unafikiri wengine ndio hatuna data za Dk. Slaa, Mbowe na wengine. Ni kwa sababu tu tunaona ni mambo binafsi hayajengi nchi yetu.
kama unawakilisha bongo za wana CHADEMA, bac chadema hakuna vichwa ni mitungi tu. tatizo chuki yenu dhidi ya CCM imewafanya muwe vipofu na kushindwa kabisa kuona ukweli napindi mkiona mnaukana.mnataka kila mtu ashabikie upumbavu????? upumbavu ni upumbavu tu haijalishi umefanywa na nani,awe kikwete, lipumba au slaa.Nafurahia sana wana ccm kuwa ndumila kuwili........embu icheck post yako jinsi unavyomshabiakia Dr. Wilbroad Slaa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/62779-pesa-wanazolipwa-wabunge-ni-rushwa.html
Tangu ilipoibuka kashfa ya Dk.Slaa wanaChadema wanatapatapa kumsafisha Slaa kwa kivuli cha mtindo wa kuzusha yule na yule ni hawana wa Rais. Hii haiwezi kusaidia kumsafisha. Watanzania wana hamu ya kujua Dk. Slaa amezini au hakuzini.