D Dangote the advocate Senior Member Joined Sep 21, 2014 Posts 137 Reaction score 158 Oct 1, 2026 #1 Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back.
Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back.
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 3,286 Reaction score 6,249 Oct 1, 2026 #2 Kwanini mkuu... Mbona mgongo uko very protected!
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 24,497 Reaction score 52,497 Oct 1, 2026 #3 Rafiki anapatikana popote uwe kazini, barabarani n.k. Tatizo ni kuwa watu wanawaamini watu kwa kuwa wanafanya kazi Moja au wanakaa pamoja. Pia uaminifu una kiwango, hata mama yako hutakiwi kumuamini kwa asilimia zote. Ndege mdinya.
Rafiki anapatikana popote uwe kazini, barabarani n.k. Tatizo ni kuwa watu wanawaamini watu kwa kuwa wanafanya kazi Moja au wanakaa pamoja. Pia uaminifu una kiwango, hata mama yako hutakiwi kumuamini kwa asilimia zote. Ndege mdinya.
KOROSHO BOMBA Senior Member Joined May 11, 2024 Posts 188 Reaction score 317 Oct 1, 2026 #4 Hakuna rafiki wa kweli popote pale. Rafiki wa kweli ni mzazi wako na watoto wako. Na mke/mume kama ukiotea.
Hakuna rafiki wa kweli popote pale. Rafiki wa kweli ni mzazi wako na watoto wako. Na mke/mume kama ukiotea.
J JIN NU Senior Member Joined Sep 2, 2026 Posts 111 Reaction score 227 Oct 1, 2026 #5 Rafiki wa kweli kwako ni wewe mwenyewe hakuna mwingine zaidi yako.
Biggs JF-Expert Member Joined May 3, 2014 Posts 2,125 Reaction score 2,410 Oct 1, 2026 #6 Dangote the advocate said: Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back. Click to expand... It is awell known fact that: 'CO-WORKERS ARE NOT YOUR FRIENDS' So, Trust Nobody and Trade Carefully !!
Dangote the advocate said: Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back. Click to expand... It is awell known fact that: 'CO-WORKERS ARE NOT YOUR FRIENDS' So, Trust Nobody and Trade Carefully !!
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 56,377 Reaction score 106,424 Oct 1, 2026 #7 Dangote the advocate said: Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back. Click to expand... Kila unayemuona kazini unatakiwa kuishi naye kwa zaidi ya kisanii.Laa sivyo,kuchekesha ni njenje!
Dangote the advocate said: Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back. Click to expand... Kila unayemuona kazini unatakiwa kuishi naye kwa zaidi ya kisanii.Laa sivyo,kuchekesha ni njenje!
Word JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 1,408 Reaction score 3,364 Oct 1, 2026 #8 Rafiki wa kweli ni baba na mama
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 40,091 Reaction score 124,939 Oct 1, 2026 #9 Don't trust on anybody, Everyone leaves you one day, Love everyone and trust nobody.
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 5,050 Reaction score 8,267 Oct 1, 2026 #10 Trust nobody.