Mkuu hapo ndio tatizo,nyambulisha vizuri ili nasisi tueleweHi Buswelu, unachotakiwa kufanya hiki: kama uliponunua laptop ilikuwa na CD zake zote yaani Motherboard CD,OS + Drivers that is fine. Kama hakuna hizo CD, tengeneza back-up kutoka kwenye Recovery Drive.
Baada ya hapo hakikisha una Windows XP (Genuine) then install by booting from the CD. Baadaye unaweza download all drivers from acer website or from www.intel.com. for this you need a fast internet connection.
Kwa ujumla utafanikiwa. Mimi nilinunua HP Pavillion Laptop na nilifanya hivyo na mpaka leo sijapata tatizo lolote. Just try.
BUSWELU HUJASEMA NI ACER MODEL GANI
ANGALIA UKIJUA MODEL( CHINI YA KIOO ) YAKE THEN TEMBELEA http://global.acer.com/support/download.htm
HAPO UTAPATA MAELEZO NA MSAADA ZAIDI WA DRIVERS ZA HIYO ACER YAKO
Huna haja ya kubackup kama point yako ni kwamba huhitaji Vista kwa vile appl zako haziko compartible na vista. Newer OS zina database kubwa za driver kutoka kampuni mbalimbali hivyo hutakuwa na shida yoyote kama uta-boot kutoka Windows XP cd/dvd rom. Baada ya ku-instal xp nenda website ya Acer angalia ni driver gani unahitaji incase kitu fulani haki-function vizuri.....