...dah, haki ya mungu!
unajua ukiwatajia wananchi oooh, tumeingiza bilioni moja nukta tatu baada ya kuwavutia watalii zaidi ya laki sita... si makofi hayo utayopigiwa na wananchi!...
kumbe wenzetu kenya, watalii laki mbili tu, wanaingiza milioni mia nane (mara nne yetu!!!)
mnh, wajinga ndio waliwao...
Au ndio zile za watalii kuja game drive Tanzania lakini accomodation Massai Mara-Kenya? ...na yale ya 'come and climb Mt Kilimanjaro' -all fees paid in Kenya?
Kila la heri mh.Kikwete na juhudi zake za kui market Serengeti